MSITA (@msita__) 's Twitter Profile
MSITA

@msita__

Good & Bad Moments Powered with God

ID: 1129740882889121793

calendar_today18-05-2019 13:29:50

29,29K Tweet

8,8K Followers

3,3K Following

Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

Kijana una Tafuta kazi ya kufanya umekaa home kujibizana na watu mitandaoni ebu amka tafuta 50k yako Nenda kwa wafugaji nunua kuku 6500 mpaka elfu 7 jumla Tafuta goli lako uza 🙌🏽🙌🏽, huondekane na shida ndogo ndogo #feonachicken

Kijana una Tafuta kazi ya kufanya umekaa home kujibizana na watu mitandaoni ebu amka tafuta 50k yako Nenda kwa wafugaji nunua kuku 6500 mpaka elfu 7 jumla 

Tafuta goli lako uza 🙌🏽🙌🏽, huondekane na shida ndogo ndogo 

#feonachicken
Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Hiki kituo cha kulelea watoto Yatima na waliopo kwenye mazingira magumu kipo Bunju Sokoni. Mwenye uwezo wa kusaidia basi anaweza kufika Kituoni au kupiga 0712867220 na kutuma msaada wake pia.

Hiki kituo cha kulelea watoto Yatima na waliopo kwenye mazingira magumu kipo Bunju Sokoni.

Mwenye uwezo wa kusaidia basi anaweza kufika Kituoni au kupiga 0712867220 na kutuma msaada wake pia.
Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Kituo cha Kulelea watoto Yatima na wanaoshi kwenye mazingira magumu cha Salama kinawashukuru wadau wanaoendelea kukisapoti kwa hali na mali. Wapo wadau walisapoti Vitanda na wengine walileta nguo kama kg 200. Ila mwenye uwezo ruksa kuchangia 0712867220. kipo Bunju SOKONI

Kituo cha Kulelea watoto  Yatima na wanaoshi kwenye mazingira magumu cha Salama kinawashukuru wadau wanaoendelea kukisapoti kwa hali na mali.

Wapo wadau walisapoti Vitanda na wengine walileta nguo kama kg 200.

Ila mwenye uwezo ruksa kuchangia
0712867220.
 kipo Bunju SOKONI