Saleemap (@saleemap6) 's Twitter Profile
Saleemap

@saleemap6

hardworker

ID: 1387811508793511947

calendar_today29-04-2021 16:51:22

2,2K Tweet

2,2K Followers

4,4K Following

𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255) 's Twitter Profile Photo

REDEOA wampa Tuzo Rais Samia kwa Kuleta Mapinduzi Sekta ya Elimu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepatiwa Tuzo maalum kwa ajili ya kuleta Mapinduzi katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania. Angellah Kairuki

REDEOA wampa Tuzo Rais Samia kwa Kuleta Mapinduzi Sekta ya Elimu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepatiwa Tuzo maalum kwa ajili ya kuleta Mapinduzi katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania.

<a href="/AngellahKairuki/">Angellah Kairuki</a>
MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu amepatiwa Tuzo maalum kwa ajili ya kuleta Mapinduzi katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania. Tuzo hiyo imepokelewa kwa Niaba yake na Waziri wa TAMISEMI Mhe Angellah Kairuki Jijini Mwanza Imetolewa na Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri (REDEOA). πŸ™

Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> amepatiwa Tuzo maalum kwa ajili ya kuleta Mapinduzi katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania.
Tuzo hiyo imepokelewa kwa Niaba yake na Waziri wa TAMISEMI Mhe <a href="/AngellahKairuki/">Angellah Kairuki</a> Jijini Mwanza Imetolewa na Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri (REDEOA). πŸ™