Saleemap
@saleemap6
hardworker
ID: 1387811508793511947
29-04-2021 16:51:22
2,2K Tweet
2,2K Takipรงi
4,4K Takip Edilen
REDEOA wampa Tuzo Rais Samia kwa Kuleta Mapinduzi Sekta ya Elimu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepatiwa Tuzo maalum kwa ajili ya kuleta Mapinduzi katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania. Angellah Kairuki
Rais Samia Suluhu amepatiwa Tuzo maalum kwa ajili ya kuleta Mapinduzi katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania. Tuzo hiyo imepokelewa kwa Niaba yake na Waziri wa TAMISEMI Mhe Angellah Kairuki Jijini Mwanza Imetolewa na Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri (REDEOA). ๐