DorothNengai
@DorothNengai
WOG| wife| mother of 4 adorable boys|farmer |business woman| overcomer | Conqueror
ID:934302858
08-11-2012 11:51:18
42,9K Tweets
4,6K Followers
1,5K Following
Follow People
Ndugu mkulima, mfugaji,mvuvi,
Mchakataji
Tutoe maoni kuhusu sera ya ugharamiaji na bima katika sekta ya Kilimo
Lucas E. Malembo
Nuru Gulila
Nemence Soka
Kitunguu - saumu - farm π§βπΎ
BEPARI
Carol Ndosi
BABU-shamba
Baraka Megiroo
visit.forms.app/chrispinmgishaβ¦
Kunae huyu jamaa anaitwa Kitunguu - saumu - farm π§βπΎ post zake nyingi ukisoma kichwa kichwa utahisi kama anataka kukubania deals lakn ni anasema ukweli mtupu ili watu wasifanye kilimo kwa mihemko tuu kisa tu products zinauzwa bei juu sokoni
JOIN THE TAHA TEAM!!
Interested and suitably qualified individuals should send their applications through the following email: [email protected]
DEADLINE: Sunday, 28th April 2024
Fan wote wa Arsenal wanahitaji love and support, leo ukikutana nao waambie kila kitu kitakuwa sawa. DorothNengai Gladness Kampa Wilfred Megiroo kila kitu kitakuwa sawa
Sophia Mfaume Kizigo, PhD Hancy Machemba Christian Bwaya You have a point. Lakini kiuhalisia yapo magari yameegeshwa tu muda mrefu na yanahitaji ufundi mdogo kurudi barabarani. Nadhani Serikali ingeyafanyia kitu hayo na kuyarudisha kwenye ofisi husika, bajeti ya magari mapya inageokolewa kwa sehemu kubwa.Kama tungekua tunajali lakiniπ
Kwa sasa Tanzania uzalishaji wa kahawa ni wastani wa tani 80,000 malengo ya wizara ya kilimo ni kufikia tani 300,000 ifikapo mwaka 2030.
Wikiendi hii ungependa kunywa kahawa na Lucas E. Malembo ?
Malembo Farm International