Rafiki fresh (@freshrafiki) 's Twitter Profile
Rafiki fresh

@freshrafiki

The online fruits 🍍🍌πŸ₯‘ and vegetablesπŸ₯¦πŸŒΏπŸ… shop

ID: 807245390835748864

linkhttp://bit.ly/2YhsFTJ calendar_today09-12-2016 15:27:53

10,10K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Woza Boergoats (@terence_muripo) 's Twitter Profile Photo

Almost mid december without any significant rains and fears of another drought year ahead. The race is not for the swift but those who can endure!

Almost mid december without any significant rains and  fears of another drought year ahead. The race is not for the swift but those who can endure!
Swahili Agribusiness πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Kama tunakuwa kibiashara basi. . Kila mwaka (siku 365) anatakiwa azae. . Mimba siku ya 60 -80 baada ya kuzaa. . Akamuliwe mpk miezi 7 ya mimba. . Dry off siku 60

Kama tunakuwa kibiashara basi.
.
Kila mwaka (siku 365) anatakiwa azae.
.
Mimba siku ya 60 -80 baada ya kuzaa.
.
Akamuliwe mpk miezi 7 ya mimba.
.
Dry off siku 60
Libby Gai (@adhieulibby) 's Twitter Profile Photo

NAS Arsenal don't handwash their jerseys; they dry clean them and move with them all over shirkat because it is the closest they have ever had to a really worthy trophy. They even smile when they see you in one πŸ˜‚πŸ˜‚ I lost a bet.

NAS Arsenal don't handwash their jerseys; they dry clean them and move with them all over shirkat because it is the closest they have ever had to a really worthy trophy.
They even smile when they see you in one πŸ˜‚πŸ˜‚ I lost a bet.
Swahili Agribusiness πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Unajua kuandika andiko la mradi?? Mimi naweza kuandika kuhusu.. "Niche yangu" Yaani.. Biashara ya Nyama nyekundu & Maziwa Nashukuru Business plan nilizoandika Zinapita..πŸ™πŸΎ Naamini Kuna mfanyabiashara mkubwa ataanzia kwangu. #swahiliAgribusiness

Unajua kuandika andiko la mradi??

Mimi naweza kuandika kuhusu..

"Niche yangu"

Yaani..

Biashara ya Nyama nyekundu & Maziwa

Nashukuru Business plan nilizoandika 

Zinapita..πŸ™πŸΎ

Naamini Kuna mfanyabiashara mkubwa ataanzia kwangu.

#swahiliAgribusiness
Swahili Agribusiness πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Silaha yangu kukabili uharibifu wa mazingira na kuinua uzalishaji Ni kuongeza Tija kukata idadi ya mifugo Kuongeza uwezo wa uzalishaji Kuleta uelewa kwa Lugha rahisi mno Sayansi + biashara (kwa kiswahili chepesi) Gharama ya wino tu. Tshs 10,000/- Mawasiliano kwenye bio

Silaha yangu kukabili uharibifu wa mazingira na kuinua uzalishaji 

Ni kuongeza Tija

 kukata idadi ya mifugo

Kuongeza uwezo wa uzalishaji 

Kuleta uelewa kwa Lugha rahisi mno

Sayansi + biashara (kwa kiswahili chepesi)

Gharama ya wino tu.

Tshs 10,000/-

Mawasiliano kwenye bio
Swahili Agribusiness πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Tuzungumze ya field Ushauri ni mwingi lakini ondoka na hili.. Ng'ombe wa Maziwa biashara yao ni TIJA Uweze kupata Maziwa mengi kutoka kwa ng'ombe wachache. Fanya haya pia... - weka mpango wa kuondoa madume shambani - Tumia mbegu za jinsia ke kupandisha majike Yako . πŸ‘‡πŸΎ

Tuzungumze ya field

Ushauri ni mwingi lakini ondoka na hili..

Ng'ombe wa Maziwa biashara yao ni 

TIJA

Uweze kupata Maziwa mengi kutoka kwa ng'ombe wachache.

Fanya haya pia...

- weka mpango wa kuondoa madume shambani

- Tumia mbegu za jinsia ke kupandisha majike Yako 
.
πŸ‘‡πŸΎ
Swahili Agribusiness πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Pesa za mfugaji wa ng'ombe wa Maziwa zinarudi muda Gani? Jibu - siku 100 za kwanza baada ya kuzaa Hapa ni muda wa kuweka uwekezaji kupata Maziwa yakutosha! Sasa.. Mpe ng'ombe wako mpk 4kg za pumba yenye madini mengi Majani yakutosha Maji masafi muda wote.

Pesa za mfugaji wa ng'ombe wa Maziwa zinarudi muda Gani?

Jibu - siku 100 za kwanza baada ya kuzaa

Hapa ni muda wa kuweka uwekezaji kupata Maziwa yakutosha!

Sasa..

Mpe ng'ombe wako mpk 4kg za pumba yenye madini mengi

Majani yakutosha 

Maji masafi muda wote.
Swahili Agribusiness πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Mchanganyiko wa pumba kipindi cha kukua (ndama) & wakati anakamuliwa.. ni tofauti. Kipindi Cha kukamuliwa ongeza vyanzo vya madini.. (i) Unga wa mifupa (ii) Jiwe (iii) Premix Mfugaji anaelewa😁

Mchanganyiko wa pumba kipindi cha kukua (ndama) &  wakati anakamuliwa.. 

ni tofauti.

Kipindi Cha kukamuliwa ongeza vyanzo vya madini..

(i) Unga wa mifupa
(ii) Jiwe
(iii) Premix

Mfugaji anaelewa😁
Swahili Agribusiness πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Kasi ya kuongeza kilogramu kwa ng'ombe Mzee ni ndogo Kwanini? Ukomo wa kukua umefikiwa Kukua nikuongezeka urefu kwenda juu & mbele na kujenga misuli mipya. Kwaio ukinenepesha ng'ombe Mzee usitumie gharama kubwa. - Chunga - pumba kiasi kdg - usikae na mfugo zaidi ya siku 90

Kasi ya kuongeza kilogramu kwa ng'ombe Mzee ni ndogo 

Kwanini?

Ukomo wa kukua umefikiwa

Kukua nikuongezeka urefu kwenda juu & mbele na kujenga misuli mipya.

Kwaio ukinenepesha ng'ombe Mzee usitumie gharama kubwa.

- Chunga
- pumba kiasi kdg
- usikae na mfugo zaidi ya siku 90
Swahili Agribusiness πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Pale kwenye mnyororo wa thamani wa nyama na Maziwa serikali ikajenga coldrooms maeneo potential ya uzalishaji mifugo itaongeza sana thamani ya biashara hizi..

Pale kwenye mnyororo wa thamani wa nyama na Maziwa serikali ikajenga coldrooms maeneo potential ya uzalishaji mifugo itaongeza sana thamani ya biashara hizi..
Josh (Your CFO Guy) (@yourcfoguy) 's Twitter Profile Photo

Tired of spending hours building financial reports? 🀯 I just created the ULTIMATE CFO report template in Excel that combines beautiful design with powerful analytics... And I'm giving it away FREE. πŸ‘‡ Here's what makes it special: βœ… Clean, professional design that executives

Swahili Agribusiness πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Je kumtoa nje Ng'ombe wa Maziwa (Zero grazed dairy cattle) kunasaidia Nini? Stress - msongo - kupunguza msongo Msongo wa kufungiwa Mtoe mara moja moja. Zingatia 1. Kupandana holela 2. Asiende mbali kukwepa wizi 3. Asichanganyike na ng'ombe wa wengine (kupe & magonjwa yake)

Je kumtoa nje Ng'ombe wa Maziwa (Zero grazed dairy cattle) kunasaidia Nini?

Stress - msongo - kupunguza msongo

Msongo wa kufungiwa

Mtoe mara moja moja.

Zingatia

1. Kupandana holela
2. Asiende mbali kukwepa wizi
3. Asichanganyike na ng'ombe wa wengine (kupe & magonjwa yake)
A.M (@masuba___) 's Twitter Profile Photo

Rais Mama Samia Suluhu umekua ukipambania sana kilimo kwenye awamu yako na umetenga pesa nyingi kuliko awamu zote kwa hili tunakushukuru, Ombi langu kwako hapa X (twitter ) vijana wengi wanafanya kilimo lakini kuna changamoto, Tunaomba kuonana na wewe kwa namna Allah atajalia.

James Hall (@hallaboutafrica) 's Twitter Profile Photo

Somalia exported 3,718,966 livestock in 2024, including sheep, cattle, and camels, and will approach 4million in 2025, keeping the agriculture sector thriving and contributing significantly to the Horn of Africa nation's economy.πŸ‡ΈπŸ‡΄πŸͺπŸ‘πŸ„

Somalia exported 3,718,966 livestock in 2024, including sheep, cattle, and camels, and will approach 4million in 2025, keeping the agriculture sector thriving and contributing significantly to the Horn of Africa nation's economy.πŸ‡ΈπŸ‡΄πŸͺπŸ‘πŸ„
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

UJAMBAZI WA RASILIMALI ZA TANZANIA UNAENDELEA KWA KASI. Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya