profile-img
Freeman Mbowe

@freemanmbowetz

Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUA

calendar_today04-09-2015 12:20:30

1,1K Tweets

630,6K Followers

499 Following

Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Hakuna kikomo kwa uwezo wenu, wanawake na wasichana wa Tanzania. Mna uwezo wa kubomoa vizuizi vyote na kufikia malengo yenu bila kikomo.
Leo, nimevushwa Busisi na Captain Rahma, mwenye ujasiri na uthubutu.
Endeleeni kung'aa na kusimama imara katika ndoto zenu. Mnaweza, na…

Hakuna kikomo kwa uwezo wenu, wanawake na wasichana wa Tanzania. Mna uwezo wa kubomoa vizuizi vyote na kufikia malengo yenu bila kikomo. Leo, nimevushwa Busisi na Captain Rahma, mwenye ujasiri na uthubutu. Endeleeni kung'aa na kusimama imara katika ndoto zenu. Mnaweza, na…
account_circle