profile-img
Boniface Jacob

@ExMayorUbungo

Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020
Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov,
Ubungo councilor 2010-2020
BA.Ed UDSM alumni
CHADEMA Member

calendar_today21-04-2013 18:11:50

16,2K Tweets

453,3K Followers

7,8K Following

Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA..!

Jana Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam ofisi za ZCO na RCO Kinondoni walifika nyumbani kwangu saa 7:30 usiku.

Baada ya kukaa muda mrefu nje ya geti, mwisho waliacha ujumbe kwamba nifike kituo cha polisi Oysterbay (Mkoa wa Kinondoni.) leo asubuhi.…

TAARIFA KWA UMMA..! Jana Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam ofisi za ZCO na RCO Kinondoni walifika nyumbani kwangu saa 7:30 usiku. Baada ya kukaa muda mrefu nje ya geti, mwisho waliacha ujumbe kwamba nifike kituo cha polisi Oysterbay (Mkoa wa Kinondoni.) leo asubuhi.…
account_circle