profile-img
Boniface Jacob

@ExMayorUbungo

Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020
Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov,
Ubungo councilor 2010-2020
BA.Ed UDSM alumni
CHADEMA Member

calendar_today21-04-2013 18:11:50

16,2K Tweets

453,3K Followers

7,8K Following

Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Siku ya leo nimepokea simu na meseji za Watanzania kutoka sehemu mbalimbali ya nchi yetu,
itoshe kusema

Watanzania wanateseka sana
Watanzania wanyanyasika sana
Watanzania wanaonewa sana
Watanzania wanaumizwa sana
Watanzani wanajeruhiwa sana
Watanzania Wanapotezwa sana
Watanzania…

account_circle