Dr.Frey Edward Cosseny🇹🇿 (@edwardcosseny) 's Twitter Profile
Dr.Frey Edward Cosseny🇹🇿

@edwardcosseny

Politician
CCM.
Young African sports Club

ID: 1056983166068645889

calendar_today29-10-2018 18:56:39

2,2K Tweet

76 Followers

35 Following

Man @Phd (@meni_md) 's Twitter Profile Photo

Dr.Frey Edward Cosseny🇹🇿 Patrick Ole Sosopi Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kwani Wasira siyo Makamu Mwenyekiti wa chama au? Sasa Kwa Nini asiwe na hadhi sawa na John Heche au kwakuwa mnaona kijani inavyotumia rasilimali za nchi mnadhani Wasira Yuko juu ya HECHE? ACHA ulevi wa Uchawa Mzee!

Man @Phd (@meni_md) 's Twitter Profile Photo

Dr.Frey Edward Cosseny🇹🇿 Patrick Ole Sosopi Chama cha Demokrasia na Maendeleo John Heche Ujinga wenu wa Kulamba Miguu ya watu ndo kunakufanya uwaze kijigajinga namna hii! Makamu Mwenyekiti ni Rais? Si Makamu Mwenyekiti wa chama sasa HECHE ni nani? Siyo Makamu Mwenyekiti wa chama? Au ujinga wenu unamwambia Wasira ni Mkuu wa muhimili? Acheni ujinga!

cheusi mangala (@mangid01) 's Twitter Profile Photo

Dr.Frey Edward Cosseny🇹🇿 Think Different Yeye kasema ukweli nasisi wananchi hayo aliyoyasema tumeyaona na tunajua hivyo na hajazusha mambo yapo na mnayatenda. Sasa kama unabishana na sauti ya Mungu bisha. Mind you Tanzania ni Taifa la Mungu.

How To Milk A Cat (@andymwaria) 's Twitter Profile Photo

Dr.Frey Edward Cosseny🇹🇿 Think Different Hakuna statement iliyotoka kwamba wamefukuzwa, kama unayo ilete tuione. Wewe umekimbilia vitisho na kukashifu kiongozi wa dini, wewe kama Dr ulitakiwa kujua mipaka ya ku'argue hapa bila kufanya personal attacks. Jibu hoja alizotoa Fr Kitima bila kashfa zisizo na uthibitisho.

How To Milk A Cat (@andymwaria) 's Twitter Profile Photo

Dr.Frey Edward Cosseny🇹🇿 Think Different Kazi si kusifia tu au kusema mazuri, kila jambo lifanyike kwa wakati wake, uwepo wakati watu waambiane madhaifu yao na wajisahihishe, hakuna malaika hapa. Fr Kitima ni Padri wa Kanisa Katoliki na Katibu Mkuu wa TEC, kwa nafasi zote hizo ana mamlaka ya kusema penye udhaifu.

<a href="/EdwardCosseny/">Dr.Frey Edward Cosseny🇹🇿</a> <a href="/lifeofmshaba/">Think Different</a> Kazi si kusifia tu au kusema mazuri, kila jambo lifanyike kwa wakati wake, uwepo wakati watu waambiane madhaifu yao na wajisahihishe, hakuna malaika hapa.
Fr Kitima ni Padri wa Kanisa Katoliki na Katibu Mkuu wa TEC, kwa nafasi zote hizo ana mamlaka ya kusema penye udhaifu.
Tanganyika Yangu (@tanzaniayangu3) 's Twitter Profile Photo

Dr.Frey Edward Cosseny🇹🇿 @mangid01 Think Different Kwamba waroma wote walio hapa nchini walitakiwa waende kumchagua Papa ndiyo wangeonekana wana akili siyo? Aisee hii ni kauli ya Dr. Kweli ? Acha niishie hapo we una lako jambo.

D (@davidnyomo) 's Twitter Profile Photo

Dr.Frey Edward Cosseny🇹🇿 @mangid01 Think Different Hawez kuongelea ajenda za vyama shikizi mzee,,alaf kwan we kama nani wa kumpangia mtu cha kuongea ?? Kwann mnahalalisha haramu kuwa halali,,kwann hamtak watu wakemee dhambi hv mbn shetan anakushangaa mzee.acha kupngia watu cha kusema hii nchi sio mali yako