Tanganyika Yangu (@tanzaniayangu3) 's Twitter Profile
Tanganyika Yangu

@tanzaniayangu3

Tuipiganie Tanganyika yetu,ni Taifa huru 1961.

ID: 1144974891537580032

calendar_today29-06-2019 14:24:21

6,6K Tweet

206 Followers

463 Following

𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢 (@chahali) 's Twitter Profile Photo

Samia ataondoka. Hilo halina mjadala. Ila SiSiEmu kuondoka ni pasua kichwa. Why? SiSiEmu ni zaidi ya chama cha siasa, ni mfumo wa kiharamia wenye symbiotic relationship na vyombo vya dola. Mfumo hauondolewi kwa sanduku la kura au katiba mpya. Mfumo hung'olewa kwa mabavu.

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Mnaojua walipo Ben Saanane, Azory Gwanda, Deus Soka, Jacob Mlay, Frank Mbise, Humphrey Poleole, Shadrack Chaula na wengine waliotekwa/kupotea mna ujumbe wenu hapa.!

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Posti imepatikana. Now debate ni impact ya hii story kuiweka now hapa X Vs nikirudi instagram. Yes naamini haki itashinda na nitarudi instagram soon.

Posti imepatikana. Now debate ni impact ya hii story kuiweka now hapa X Vs nikirudi instagram. Yes naamini haki itashinda na nitarudi instagram soon.
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Imeanzishwa media ya kuwakumbuka ndugu zetu waliouwawa Tarehe 29.10.2025. Media hii itapost kumbukizi zote za uovu WOTE wa Serikali. Media inatwa @Mo29Tv

Imeanzishwa media ya kuwakumbuka ndugu zetu waliouwawa Tarehe 29.10.2025.

Media hii itapost kumbukizi zote za uovu WOTE wa Serikali.

Media inatwa @Mo29Tv
MO 29 TV (@mo29tv) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 29 Mwezi huu ni siku ya kuwaenzi na kuwakumbuka watanganyika wenzetu waliouwawa kwenye maandamano MO 29 TV, kuwa sehemu ya maadhimisho haya #Repost ujumbe huu.

Tarehe 29 Mwezi huu ni siku ya kuwaenzi na kuwakumbuka watanganyika wenzetu waliouwawa kwenye maandamano <a href="/MO29TV/">MO 29 TV</a>, kuwa sehemu ya maadhimisho haya #Repost ujumbe huu.
Ananilea Nkya (PhD) (@ananilean) 's Twitter Profile Photo

Mwachieni Tundu Lissu #FreeTunduLissu. Ni mtoto wa Tanzania, aliyenusurika KIFO baada ya kupigwa risasi 32 kikatili 2017. Kuendelea kumweka GEREZANI kwa tuhuma za UHAiNI ni dhambi kwa Mungu, ni kuitangazia dunia kuwa TZ ina Katiba mbovu, na ni AIBU yetu sote

Mwachieni Tundu Lissu #FreeTunduLissu. Ni mtoto wa Tanzania, aliyenusurika KIFO baada ya kupigwa risasi 32 kikatili 2017. Kuendelea kumweka GEREZANI kwa tuhuma za UHAiNI ni dhambi kwa Mungu, ni kuitangazia dunia kuwa TZ ina Katiba mbovu,  na ni AIBU yetu sote
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa nasubiri nirudi instagram ili nianze kuwapostia upya ujangili wa kina Angela Kizigha na kina Mombo maana kwa sasa hakuna impact kubwa itakuwepo sababu sipo insta ila kutokana na hiyo appointment ya Kizigha leo imebidi niwape hii Hii kampuni Magmop ni kampuni ya Angela

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON REPOST 200

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

PASAKA ya Mwaka jana ilikukuta ndani ya kuta za Gereza Ukonga, Pasaka ya Mwaka huu na yenyewe imekukuta ndani ya kuta za Gereza la Ukonga. WEWE SIO MUHAINI Wewe ni mtu wa Haki mwenye msimamo thabiti, wewe ni sauti ya Tanzania, wewe ni fahari yetu Watanzania wote ambao tuna

PASAKA ya Mwaka jana ilikukuta ndani ya kuta za Gereza Ukonga, 

Pasaka ya Mwaka huu na yenyewe imekukuta ndani ya kuta za Gereza la Ukonga.

WEWE SIO MUHAINI 

Wewe ni mtu wa Haki mwenye msimamo thabiti, wewe ni sauti ya Tanzania, wewe ni fahari yetu Watanzania wote ambao tuna