Man @Phd
@meni_md
MD Man💫
ID: 1510717303654170630
03-04-2022 20:35:08
4,4K Tweet
109 Followers
551 Following
"Kula chaki" uandishi gani huu wa kipumbavu? Mmeshindwa kuheshimu kazi za watu kiasi cha kuwabeza? Bwana Maulid Kitenge unatafuna jitihada zako zote kwenye Tasnia kwa kuabudu Watawala? Yani unaonyesha kama hii kazi ni adhabu kwa kuwa huyo Mwalimu alipingana na Rais?
. #Naythetrueboy - MAMLAKA Ngoma mpya ya Emmanuel Elibariki. Nay anatamani siku moja MaCCM yawe CHADEMA hata moja, yaone moto yanaotupitisha. Sasa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) sikilizeni, huku ndani Emmanuel kazungumza na Mungu wake, wimbo wake msiufungie. Acheni miyeyusho yenu ya kiwaki.
Halima James Mdee Aiseee unaweza ukawa na mwanzo mzuri mwisho ukawa mbaya! Ndio maana sarafu ina pande mbili maisha ni fumbo jiepushe na dharau
Wananchi wa jimbo la Kibamba wakichangia #ToneTone katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jimbo la Kibamba na kuhutibiwa na Makamu Mwenyekiti bara Mhe. John Heche.