MR + (@abdulis77271062) 's Twitter Profile
MR +

@abdulis77271062

Me

ID: 1518866239417892865

calendar_today26-04-2022 08:15:56

4,4K Tweet

69 Followers

240 Following

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

BONI YAI MAZUNGUMZO NA VYOMBO VYA HABARI -- Devota analalamika kwamba aliondolewa kwenye group la WhatssApp sababu ni team Mbowe, sasa kwa nini sijaondolewa kwenye hilo group ? yeye alituma vitenge vya CHAUMA kwenye group letu na ile ilikuwa sample ya vitenge vya CHAUMA, baada

BONI YAI  MAZUNGUMZO NA VYOMBO VYA HABARI
--   Devota analalamika kwamba aliondolewa kwenye group la WhatssApp sababu ni team Mbowe, sasa kwa nini sijaondolewa kwenye hilo group ? yeye alituma vitenge vya CHAUMA kwenye group letu na ile ilikuwa sample ya vitenge vya CHAUMA, baada
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Askari Magereza wamepewa maelekezo kwamba Wahakikishe wanasikiliza Maongezi ya Mhe. Lissu ndo maana leo Mahakamani walikuwa hawataki Lissu azungumze na Mawakili wake Private eti na wao walikuwa wanataka kusikia anaongea nini na mawakili wake. Wanaume wazima wamekaa kiumbea umbea

Ananilea Nkya (PhD) (@ananilean) 's Twitter Profile Photo

Picha hii iliyopigwa mahakamani Kisutu leo tarehe 19 Mei 2025 siku ambayo raia mwenzetu Tundu lissu amefikishwa mahakamani hapo kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili ina jumbe kadhaa mzito kwetu. Tafakari tuambie ni ujumbe gani ambao picha hii inatoa?

Picha hii iliyopigwa mahakamani Kisutu leo tarehe 19 Mei 2025 siku ambayo raia mwenzetu Tundu lissu amefikishwa mahakamani hapo kwa ajili ya kesi  ya uhaini inayomkabili  ina jumbe kadhaa mzito kwetu. Tafakari tuambie ni ujumbe gani ambao picha hii inatoa?
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Thank you former Chief Justice David Maraga for the eloquent statment! East African Community is primarily the PEOPLE not the govts Solidarity πŸ‘ŠπŸ½πŸ”₯ Mwambieni Samia Suluhu aje asome hapa Maraga aliingia nchini na alikutana na Tundu Antiphas Lissu na amesema waafrika wote wana haki kupambania haki za

Thank you former Chief Justice <a href="/dkmaraga/">David Maraga</a> for the eloquent statment! 
<a href="/jumuiya/">East African Community</a> is primarily the PEOPLE not the govts
Solidarity πŸ‘ŠπŸ½πŸ”₯

Mwambieni <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> aje asome hapa 
Maraga aliingia nchini na alikutana na <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> na amesema waafrika wote wana haki kupambania haki za
Harry. (@harrygodfirst) 's Twitter Profile Photo

Samia anajua kusoma na kuelewa KINGEREZA..yaliyoandikwa humu na David Maraga ndio anaita vurugu, chokochoko, kusemwa vibaya ? Huyo jioni muingizeni darasani either apate elimu ya uraia na baada ya hapo MAOMBEZI maalumu. Utawala wako SAMIA ni wa KISHENZI ieleweke hivyo.

Samia anajua kusoma na kuelewa KINGEREZA..yaliyoandikwa humu na David Maraga ndio anaita vurugu, chokochoko, kusemwa vibaya ? 

Huyo jioni muingizeni darasani either apate elimu ya uraia na baada ya hapo MAOMBEZI maalumu. 

Utawala wako SAMIA ni wa KISHENZI ieleweke hivyo.
Cornelius K. Ronoh (@itskipronoh) 's Twitter Profile Photo

Kenyans will remove dictator Ruto of Kenya and dictator Samia Suluhu of Tanzania from power. As for dictator Museveni of Uganda, nature will sort him out. A change is coming to East Africa.

Kenyans will remove dictator Ruto of Kenya and dictator Samia Suluhu of Tanzania from power. As for dictator Museveni of Uganda, nature will sort him out. A change is coming to East Africa.
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Challenge mpya nchini Kenya. Rais Samia haruhusiwi kuingia Kenya. Anaitwa Dictator mpya wa Kike Africa Mashariki na Kati. Wanamuita Mwanamke katili na mwenye Roho Mbaya. Adolf Hitler wa Eastern Africa.

Challenge mpya nchini Kenya. Rais Samia haruhusiwi kuingia Kenya. Anaitwa Dictator mpya wa Kike Africa Mashariki na Kati.

Wanamuita Mwanamke katili na mwenye Roho Mbaya. Adolf Hitler wa Eastern Africa.
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Tumekubali kulipa garama za kupigania DEMOKRASIA na mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu hata kama itahitajika kugarimu Maisha yetu... #NoReformsNoElection

Tumekubali kulipa garama za kupigania DEMOKRASIA na mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu hata kama itahitajika kugarimu Maisha yetu...
#NoReformsNoElection
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Swali kwa kijana wa Tanzania: Billioni 500 anayoitumia mtawala wa Tanzania kujinunulia V8 kila mwaka ingefungua viwanda vingapi vya kukupa ajira? Utaendelea kukandamizwa kwenye umaskini kwa makusudi mpaka lini?πŸ€”

Swali kwa kijana wa Tanzania: Billioni 500 anayoitumia mtawala wa Tanzania kujinunulia V8 kila mwaka ingefungua viwanda vingapi vya kukupa ajira?

Utaendelea kukandamizwa kwenye umaskini kwa makusudi mpaka lini?πŸ€”