
Wampembe Thadeo
@wampembejr
Kijana mpole & Mvumilivu, Simba SC & Liverpool FC fan
ID: 1425155521733087234
10-08-2021 18:02:47
67 Tweet
411 Followers
1,1K Following




Huyu sasa ndiye mfano wa kuigwa kwa Marais wengine…Hakainde Hichilema Tundu Antiphas Lissu John Pambalu MNYIKA John John Zitto MwamiRuyagwa Kabwe


Huyu Baba anaupiga mwingi sana..Kuendelea kuwaaminisha watanzania kuwa bila Chama Cha Mapinduzi hamna maendeleo ni hadithi za akina pwagu & pwaguzi…Angalieni upinzani wanavyoupiga mwingi mpaka unamwagika kwa majirani zetu..Martin Maranja Masese Maria Sarungi Tsehai @mdudechadematz John Pambalu



Hivi ni kweli Zitto MwamiRuyagwa Kabwe umeyasema haya? Yaani unataka Watanzania waamini kwamba Mwenyekiti Mbowe yuko ndani kwasababu ya kelele? Yaani badala uwasisitize wanaomshikilia Mwenyekiti kwa kesi ya uongo wamuachie huru. Unaanza kuwashambulia Viongozi wenzake? Kuna nini hapa?



John Heche ACT mnamaanisha hifadhi hizi mikoa/wilaya zianze kugawana na kuwa ni miliki yao kwa kushirikiana na serikali? Mnadhani hiyo italeta usawa wa mgawanyo wa rasilimali nchini? Mnadhani hiyo itaishia Ngorongoro tu na je Wilaya/Mikoa mingine nayo ikifanya hivyo?



😏😏😏 …ngoja tuache kutumia simu tuone kama mtapata wateja..Halotel_Tanzania …siyo kwa kupunguza bandle ..



Nimekaa nikaona sio mbaya na mimi nijaribu kufanya kitu #SimbaSc Jersey Concept Concept by kijana wenu Innogh | Graphic Designer 🇹🇿 Shuka nayo👇


