UZALENDO KWANZA (@uzalendo_tz) 's Twitter Profile
UZALENDO KWANZA

@uzalendo_tz

๐Ÿ“Uzalendo kwa Nchi kwanza

๐Ÿ“Kazi ndo kipimo cha Utu.

ID: 1547663444362440711

calendar_today14-07-2022 19:25:20

369 Tweet

1,1K Followers

723 Following

UZALENDO KWANZA (@uzalendo_tz) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu pembezoni mwa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu pembezoni mwa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.
AMOSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_amosirichard) 's Twitter Profile Photo

Huu ni mkutano mkuu wa Tawi la UVCCM Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, hapa sio Wilaya wala Mkoa ni Tawi tu tena la Chuo Kikuu hilo ndio nyomi lake, ambapo SG Jokate Mwegelo alikua mgeni rasmi. Sasa naelewa kwa nini wale Jamaa wanahubiri kutokuingiza timu uwanjani๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Huu ni mkutano mkuu wa Tawi la UVCCM Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, hapa sio Wilaya wala Mkoa ni Tawi tu tena la Chuo Kikuu hilo ndio nyomi lake, ambapo SG Jokate Mwegelo alikua mgeni rasmi.

Sasa naelewa kwa nini wale Jamaa wanahubiri kutokuingiza timu uwanjani๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
AMOSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_amosirichard) 's Twitter Profile Photo

Vyama 18 kati ya 19 vyenye usajili wa kudumu vimeshiriki kikao na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kusaini maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025, CDM Hawajashiriki, maana yake hawataruhusiswa kuendesha kampeni au shughuli yoyote ya kisiasa kipindi cha kampeni 2025.

UZALENDO KWANZA (@uzalendo_tz) 's Twitter Profile Photo

Sasa wale waliokua wanajipa moyo kuwa bado kutosaini hakuwazuii kushiriki uchaguzi wakikua wanatumia kanuni gani?. Na Uzuri zishatangwaza kwenye gazeti la serikali kiufupi wale G55 watafute pakwenda sasa Chama chao kimeshaua ndoto zao za kuwa Viongozi.

Sasa wale waliokua wanajipa moyo kuwa bado kutosaini hakuwazuii kushiriki uchaguzi wakikua  wanatumia kanuni gani?.

Na Uzuri zishatangwaza kwenye gazeti la serikali kiufupi wale G55 watafute pakwenda sasa Chama chao kimeshaua ndoto zao za kuwa Viongozi.
AMOSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_amosirichard) 's Twitter Profile Photo

Hapa ni kuelekea Mkutano wa Tawi la UVCCM Chuo cha IFM ambapo Katibu Mkuu wa UVCCM Jokate Mwegelo anenda kuzindua #SamiaFirstTimeVoters na hili ndio nyomi la Vijana. Siku kadhaa nyuma kuna Chama kimefanya mikutano Temeke na Kinondoni hawakuwa hata na Robo ya umati huu wa Tawi la Chuo

Hapa ni kuelekea Mkutano wa Tawi la UVCCM Chuo cha IFM ambapo Katibu Mkuu wa UVCCM Jokate Mwegelo anenda kuzindua #SamiaFirstTimeVoters na hili ndio nyomi la Vijana.

Siku kadhaa nyuma kuna Chama kimefanya mikutano Temeke na Kinondoni hawakuwa hata na Robo ya umati huu wa  Tawi la Chuo
SHIRIMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@shirima101) 's Twitter Profile Photo

Ukweli ni mchungu ila ndio tiba, Migogoro ya ndani Chadema Tanzania imekuwa kichocheo cha Kifo chake. Vita vya maneno na makundi ya kutukanana ndani kwa ndani vinawaua wenyewe kuliko maadui wenu wa nje.Ukiona wanachama hodari wanajivua uanachama kwa kasi ni dalili za Chama kufa.

Ukweli ni mchungu ila ndio tiba,  Migogoro ya ndani Chadema Tanzania imekuwa kichocheo cha Kifo chake. Vita vya maneno na makundi ya kutukanana ndani kwa ndani vinawaua wenyewe kuliko maadui wenu wa nje.Ukiona wanachama hodari wanajivua uanachama kwa kasi ni dalili za Chama kufa.
AMOSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_amosirichard) 's Twitter Profile Photo

Historia inaenda kuandikwa Mlimani City 16 May, 2025 Ukumbi wa Century Cinemax, wale wenye macho lakini hawataki kuona na wale wenye masikio lakini hawataki kusikia Sasa ni wakati wa kujua ni nini Dkt. Samia Suluhu amefanya ndani ya miaka 4. Mambo makubwa yanafanya na wakubwa.

AMOSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_amosirichard) 's Twitter Profile Photo

Samia First time voters iliyoongozwa na Katibu Mkuu wa UVCCM TZ Ndugu Jokate Mwegelo Jijini Arusha ni historia nyingine ya kipekee na salamu za Vijana kuwa Oktoba 2025 Rais Samia Suluhu atapata kura nyingi sana kutoka kwa Vijana wake kwani wamemuelewa vilivyo.

Hawa ni maelfu ya Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoani Arusha, Tukio ni Samia First Time Voters na Mgeni Rasmi ni Jokate Mwegelo , Shangwe wanalolionyesha ni ishara ya utayari wao wa kushiriki Uchaguzi, Kimchagua Samia Suluhu kuendelea kuwa Rais wao na kuilinda Amani ya Taifa lao.

UZALENDO KWANZA (@uzalendo_tz) 's Twitter Profile Photo

"Wote tunaoitakia mema nchi hii tumesikitishwa na kuhuzunishwa na matukio ya uvunjifu wa amani, upotevu wa maisha na uharibifu wa mali za Umma na mali za Watu binafsi kwenye baadhi ya maeneo nchini, hasa kwenye Majiji na Miji". Samia Suluhu #WriteTheFuture #UnitedForTZ

UZALENDO KWANZA (@uzalendo_tz) 's Twitter Profile Photo

"Kilichotokea hakiendani na taswira na sifa za Kitanzania na sio Utanzania. Haikutushangaza kuona kuwa baadhi wa vijana waliokamatwa kutokana na kadhia hio wametoka nje ya Tanzania". Samia Suluhu #ProtectDemocracy #GenZTZ

UZALENDO KWANZA (@uzalendo_tz) 's Twitter Profile Photo

"Nitumie fursa hii, kutoa onyo kwa wale wote waliochochea uvunjifu wa amani, na nawataka watambue kuwa vurugu na uvunjifu wa amani huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami, ila mazungumzo huzaa mshikamano. Tuchague lenye manufaa kwetu". Samia Suluhu #PeaceInTanzania

UZALENDO KWANZA (@uzalendo_tz) 's Twitter Profile Photo

"Sifa moja ya Mwanadamu ni kutokukamilika, aliekamilika kabisa kabisa bila kasoro yoyote ni Mwenyezi Mungu peke yake. Ndio maana, katika shughuli au harakati za wanaadamu tunaunganishwa na mawasiliano, mazungumzo na maelewano" Samia Suluhu #SuluhuForPeace #TanzaniaDialogue

UZALENDO KWANZA (@uzalendo_tz) 's Twitter Profile Photo

"Hatuna budi kuhakikisha tunahimizana umoja na upendo kwa nchi yetu, tunadumisha amani na kuheshimu sheria za nchi. Kinyume cha hayo, Maandamano, vurugu na uvunjifu wa amani, husababisha maumivu na havileti manufaa wala faida kwa yeyote". Samia Suluhu #SuluhuListens

UZALENDO KWANZA (@uzalendo_tz) 's Twitter Profile Photo

"Niwasihi Watanzania tuchague hekima badala ya ghadhabu; busara badala ya mihemuko; upendo badala ya chuki; uvumilivu badala ya vinyongo; umoja badala ya mgawanyiko; amani badala ya vurugu unyenyekevu badala la kiburi; na huruma badala ya hasira" #SuluhuForReform #FutureTanzania

UZALENDO KWANZA (@uzalendo_tz) 's Twitter Profile Photo

"Demokrasia haipimwi kwa nani kashinda uchaguzi, bali kwa jinsi tunavyoendesha mambo yetu baada ya uchaguzi. Tutakuwa na nguvu zaidi pale kila sauti, chanya na hasi, zinaposikilizwa, kuheshimiwa na kuthaminiwa, na vile vile, tunapoweza kuponya penye maumivu" SSH #ProtectDemocracy

"Demokrasia haipimwi kwa nani kashinda uchaguzi, bali kwa jinsi tunavyoendesha mambo yetu baada ya uchaguzi. Tutakuwa na nguvu zaidi pale kila sauti, chanya na hasi, zinaposikilizwa, kuheshimiwa na kuthaminiwa, na vile vile, tunapoweza kuponya penye maumivu" SSH
#ProtectDemocracy