SHIRIMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@shirima101) 's Twitter Profile
SHIRIMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@shirima101

Fighting for better

ID: 1526595209928355841

calendar_today17-05-2022 16:07:34

1,1K Tweet

1,1K Followers

796 Following

CHOLLO MASTER (@chollomaster_) 's Twitter Profile Photo

OCTOBER TUNATIKIโœ… DKT SAMIA MITANO TENA Jeshi la Chama na Vijana wa Dkt Samia tupo tayari kuhakikisha tunashinda kwa kishindo tumeamua tutashiriki Uchaguzi,Nchi yetu inaongozwa na Katiba na sheria Wakati ukifika tutawafikia wapiga kura na sio wapiga kelele Stori mbili tatuโœ…

OCTOBER TUNATIKIโœ…
DKT SAMIA MITANO TENA

Jeshi la Chama na Vijana wa Dkt Samia tupo tayari kuhakikisha tunashinda kwa kishindo tumeamua tutashiriki Uchaguzi,Nchi yetu inaongozwa na Katiba na sheria 

Wakati ukifika tutawafikia wapiga kura na sio wapiga kelele

Stori mbili tatuโœ…
SHIRIMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@shirima101) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe, Kissa Gwakisa Kasongwa (@kissagwakisakasongwa) amelazimika kuingilia kati mgogoro uliopo baina ya wakulima wa kijiji cha Mfumbi pamoja na wafugaji ambao ni wahamiaji wanaotuhumiwa kulisha mifugo mazao ya wakulima wa kijiji hicho.

๐Ÿ’ŽNUKUU YA LEO๐Ÿ’Ž ๐ŸŒ„ โ€œMaisha ni safari, si mashindano โ€” kila mtu ana wakati wake wa kufika, hivyo usijilinganishe, endelea kutembea kwa hatua zako.โ€

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatoa pole kwa familia, wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi, watumishi wa Bunge na Wabunge wote aliotumikia nao akiwa Spika wa Bunge letu,

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatoa pole kwa familia, wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi, watumishi wa Bunge na Wabunge wote aliotumikia nao akiwa Spika wa Bunge letu,
SHIRIMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@shirima101) 's Twitter Profile Photo

"Wote tunaoitakia mema nchi hii tumesikitishwa na kuhuzunishwa na matukio ya uvunjifu wa amani, upotevu wa maisha na uharibifu wa mali za Umma na mali za Watu binafsi kwenye baadhi ya maeneo nchini, hasa kwenye Majiji na Miji". Samia Suluhu #WriteTheFuture #UnitedForTZ

SHIRIMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@shirima101) 's Twitter Profile Photo

"Kilichotokea hakiendani na taswira na sifa za Kitanzania na sio Utanzania. Haikutushangaza kuona kuwa baadhi wa vijana waliokamatwa kutokana na kadhia hio wametoka nje ya Tanzania". Samia Suluhu #ProtectDemocracy #GenZTZ

SHIRIMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@shirima101) 's Twitter Profile Photo

"Nitumie fursa hii, kutoa onyo kwa wale wote waliochochea uvunjifu wa amani, na nawataka watambue kuwa vurugu na uvunjifu wa amani huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami, ila mazungumzo huzaa mshikamano. Tuchague lenye manufaa kwetu". Samia Suluhu #PeaceInTanzania

SHIRIMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@shirima101) 's Twitter Profile Photo

"Sifa moja ya Mwanadamu ni kutokukamilika, aliekamilika kabisa kabisa bila kasoro yoyote ni Mwenyezi Mungu peke yake. Ndio maana, katika shughuli au harakati za wanaadamu tunaunganishwa na mawasiliano, mazungumzo na maelewano" Samia Suluhu #SuluhuForPeace #TanzaniaDialogue

SHIRIMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@shirima101) 's Twitter Profile Photo

"Hatuna budi kuhakikisha tunahimizana umoja na upendo kwa nchi yetu, tunadumisha amani na kuheshimu sheria za nchi. Kinyume cha hayo, Maandamano, vurugu na uvunjifu wa amani, husababisha maumivu na havileti manufaa wala faida kwa yeyote". Samia Suluhu #SuluhuListens

SHIRIMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@shirima101) 's Twitter Profile Photo

"Niwasihi Watanzania tuchague hekima badala ya ghadhabu; busara badala ya mihemuko; upendo badala ya chuki; uvumilivu badala ya vinyongo; umoja badala ya mgawanyiko; amani badala ya vurugu unyenyekevu badala la kiburi; na huruma badala ya hasira" #SuluhuForReform #FutureTanzania

SHIRIMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@shirima101) 's Twitter Profile Photo

"Demokrasia haipimwi kwa nani kashinda uchaguzi, bali kwa jinsi tunavyoendesha mambo yetu baada ya uchaguzi. Tutakuwa na nguvu zaidi pale kila sauti, chanya na hasi, zinaposikilizwa, kuheshimiwa na kuthaminiwa, na vile vile, tunapoweza kuponya penye maumivu" SSH #ProtectDemocracy

"Demokrasia haipimwi kwa nani kashinda uchaguzi, bali kwa jinsi tunavyoendesha mambo yetu baada ya uchaguzi. Tutakuwa na nguvu zaidi pale kila sauti, chanya na hasi, zinaposikilizwa, kuheshimiwa na kuthaminiwa, na vile vile, tunapoweza kuponya penye maumivu" SSH
#ProtectDemocracy
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Kijeshi Wahitimu 106 kwenye mahafali yaliyofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 22 Novemba, 2025.

Mwita C. Mwita (@mwitah_tz) 's Twitter Profile Photo

Mambo kadhaa wanaharakati wanaweza jifunza sasa; 1. Mitaani kila mtu ni balozi wa mwenzie kuhusu amani kwa sasa. What happened 29 October ni nightmare ambayo kila mtu anasema that should NEVER EVER HAPPEN AGAIN 2. Elimu kwamba watu hulipwa billions of money kufanya harakati

๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_zack255) 's Twitter Profile Photo

Yan Maria Sarungi Tsehai nitahakikisha nampa mimba hata kama ni ajuza angalau apate majukumu ya kifamilia aache upumbafu. Ulikataa kumzika baba yako, Mama yako umemtelekeza magugu yameota hadi sebuleni yan hiki unachokifanya ni laana tu za Marehemu Sarungi zinakupeka puta.

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Ila Mariyaaa ! Hapana aisee! Mbona kama ni mgonjwa wa akili ๐Ÿ˜ Kawe ya wapi sasa kuna maandamano? Mbagala ipi kuna maandamano?

Ila Mariyaaa ! Hapana aisee! Mbona kama ni mgonjwa wa akili ๐Ÿ˜

Kawe ya wapi sasa kuna maandamano? Mbagala ipi kuna maandamano?
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Karibu Tanzania Mheshimiwa Rais. Ikulu, Dar es Salaam leo nimempokea Kaka yangu, Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni. Ziara yake hii nchini ikiwa ni siku chache tu baada ya Uchaguzi Mkuu wa Uganda inaonesha namna Uganda inavyothamini ushirikiano wake na

Karibu Tanzania Mheshimiwa Rais. 

Ikulu, Dar es Salaam leo nimempokea Kaka yangu, Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni. Ziara yake hii nchini ikiwa ni siku chache tu baada ya Uchaguzi Mkuu wa Uganda inaonesha namna Uganda inavyothamini ushirikiano wake na
Sabrina๐ŸŒท (@officielsajah) 's Twitter Profile Photo

#TaifaKwanza #KataaVurugu Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 amezindua Bima ya Afya kwa wote kwa ajili ya wananchi wote kumudu gharama za afya nchini. Tumuunge mkono. Rais wetu Anaweza na Anasonga mbele. Tuwakatae Wanaharakati Uchwara. #HakiNaWajibu