Jokate Mwegelo
@jokateM
Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, Presidentโs Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
ID:383368286
01-10-2011 19:13:19
45,3K Tweets
1,1M Followers
1,3K Following
๐ Today on International Day of Multilateralism and Diplomacy for Peace, we stand firm in our commitment to promoting collaboration and unity worldwide. By fostering dialogue and cooperation, multilateralism is crucial in addressing today's challenges #MultilateralismMatters
Zanzibar kumenoga leo ๐ฅ๐ฅ
Karibu Zanzibar katibu mkuu UVCCM Jokate Mwegelo
#UmojaWaVijanaNguvuYaTaifa
Vijana wenzangu,pamoja na mambo mazuri yaliyofanywa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,bado tuna kila sababu ya kuhakikisha tunajiimarisha katika Nyanja za Kiuongozi,Kisiasa,Kijamii na Kiuchumi ili tuendelee kuwa chachu kwa Taifa letu la sasa na badae
#UmojaWaVijanaNguvuYaTaifa
Wasanii mbalimbali wameshafika, namuona dada Johnson Mwangi dada Shilole .. Mr Blue
All this for Jokate Mwegelo ๐๐พ #UmojaWaVijanaNguvuYaTaifa
Chini ya uongozi wangu sitegemei mambo ya uchonganishi na kurudishana nyuma; tukiona vijana wenzetu wana uwezo na wanawania nafasi mbalimbali za uongozi tuwaunge mkono badala ya kuwawekea vikwazo. ~ Jokate Mwegelo #JUM #UmojaWaVijanaNguvuYaTaifa
This morning Jokate Mwegelo, Jo-Anna Sue Henley Rampas and Femigรผeisa, from our Network of Young Decision-makers, have had the opportunity to meet with our Members Mongol Tsakhia ELBEGDORJ and Han Seung-soo and exchange views and discuss the upcoming Club de Madrid projects #WYDEYouth #YouthDemocracyCohort
Vijana wa CCM tukiongozwa na Boss wetu Mohammed Kawaida tunasema CCM itashinda kwa nguvu ya USHAWISHI na nguvu ya HOJA!!!
Zanzibar ya kijani ๐๐๐๐๐
Pole sana kwa familia nzima ya Clouds Media kwa kuondokewa na mtu mahiri kwenye tasnia ya habari na utangazaji. Poleni sana Watanzania wote kwa kuondokewa na kipenzi chetu Gardner G Habash.
Bwana alitoa, Bwana alitwaa jina la Bwana lihimidiwe. Amen ๐๐ฝ
UVCCM tunakuja kisiwa cha Marashi Ni katika kuanikiza sera za chama chini ya Katibu mkuu @JokateM
#UmojaWaVijanaNguvuYaTaifa