
Most Wanted JR
@uchafuzim
NO REFORM NO ELECTION
ID: 927547127999410176
06-11-2017 14:44:03
124,124K Tweet
6,6K Followers
1,1K Following


Wakati nyota ya Tundu Lissu inazidi kung’aa kimataifa, nyota ya Bi Kizimkazi inazima kabisa na sasa imekuwa giza tupu! Watu wanamkana na kumkimbia! Unachokitafuta utakipata Samia Suluhu Kama ulijua utatuua na kututeka alafu utaachwa tu sasa ujue mwisho wa dhulma umeanza



Hey TotalEnergies CAFCL & CAFCC 🏆 CAF Media we request the suspension of preparations for the CHAN tournament being organized in Tanzania ,Kenya,and Uganda becouse Tanzania is no longer a safe country for foreign citizens.There is fear of kidnapping and murder,even for foreinners. The Tanzanian gove





"Kwa mfano ikatokea Abdul mtoto wa Samia Suluhu wamekuja watu wamemchukua wameondoka naye, kesho kaokotwa hana macho, utajisikiaje⁉️ Sasa kwa nini tunaona hawa wanaopotea kana kwamba ni mbuzi?"- Askofu Josephat Gwajima #FreeMdudeNyagali #FreeSoka #FreeJacobMlay #FreeMbise



‼️ #EnforcedDisappearance ALERT #Tanzania ‼️ Anaitwa Mang’era Mugore Alitekwa 09 Mei 2025 jijini Mwanza na hadi sasa Police Force TZ narudia binadamu hawezi kupotezwa kirahisi! Huyu kijana ana watoto wadogo na mke - familia inamtegemea Samia Suluhu huu ukatili wako huu This young man




Kweli na haki ndio sababu ya haya unayoyapitia ndugu Mdude Nyagali Hawa mafashisti na genge la wahuni ambao wameamua kujibu hoja zako Kwa nondo bunduki na mabomu huku magereza ndio silaha Yao. Tutashinda kwakuwa Mungu ni mkubwa na hujawah kumuacha katika maisha yako. Miss u bro.






Nimeanza kupiga SPANA Samia Suluhu alichoweza ni kunipiga TOFALI.Hii dua ya huyu TAPELI mwenyezi mungu hawezi kuipokea kamwe