Togolani Mavura
@tonytogolani
Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!
To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own Destiny
ID:458274726
08-01-2012 11:18:55
80,5K Tweets
256,1K Followers
2,0K Following
Follow People
🇹🇿🇬🇧
Minister of Foreign Affairs and East Africa Cooperation, H. E. January Makamba will be the Guest of Honour during the 𝗗𝗶𝗮𝘀𝗽𝗼𝗿𝗮 𝗬𝗼𝘂𝘁𝗵 𝗧𝗮𝗹𝗸 to be held tomorrow 📆May 05th, 2024 at ⏰1600Hours (EAT)
The event will be hosted by the Tanzania High Commission in London,…
Kama shughuli ni kuchambua mapungufu ya wengine basi ni upungufu mkubwa tulionao.
# #KSK_Balozi
Taasisi ya Mo Dewji Foundation yapongezwa kwa kuanzisha ushirikiano na taasisi ya The King's Trust International ya nchini Uingereza kwa ajili ya kufadhili programu za kuwajengea uwezo vijana kubuni mawazo ya biashara (Enteprise challenge). Pongezi hizo zimetolewa na Balozi mbelwa Kairuki katika mkutano…
Africa's demographic trend is a mega trend to watch, with 2 out of 5 people at the end of this century being Africans.
His Excellency January Makamba , Minister for Foreign Affairs and East Africa Cooperation of Tanzania, recently emphasized this at the Nordic-Africa Ministerial…
Thank you Minister Elina Valtonen for a very fruitful engagement - and for your leadership in advancing our bilateral relations. Looking forward to working closely with you. MFA Finland 🇫🇮 FinnishEmbassyTZ
📍Copenhagen, Denmark
🇹🇿🇸🇪
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden, Mhe. Tobias Billström pembezoni mwa Mkutano wa 21 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na Nordic.
Viongozi…
📍Copenhagen, Denmark
🇹🇿🇩🇰
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amezungumza na Waziri wa Kodi wa Denmark, Mhe. Jeppe Bruus pembezoni mwa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na nchi za Nordic unaofanyika Copenhagen, Denmark.…
📍Copenhagen, Denmark
🇹🇿🇰🇪🇩🇰
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Mkuu wa Mawaziri wa Kenya, Mhe Musalia W Mudavadi pembezoni mwa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na nchi za…