mbelwa Kairuki(@MbelwaK) 's Twitter Profileg
mbelwa Kairuki

@MbelwaK

Tanzania's High Commissioner to the UK

ID:613450819

linkhttps://tzhc.uk calendar_today20-06-2012 13:40:54

1,8K Tweets

13,8K Followers

1,1K Following

Follow People
mbelwa Kairuki(@MbelwaK) 's Twitter Profile Photo

Mwezi Mei 2024 Ubalozi utaanzisha kipindi cha mahojiano (interview) kitakachotoa fursa kwa wanadiaspora kuzungumzia masuala mbalimbali yenye manufaa kwa umma. Kipindi hicho kitakachojulikana kama 'Zungumza na Diaspora' kitafanyika mara moja kwa mwezi kupitia mtandao wa Zoom na

account_circle
mbelwa Kairuki(@MbelwaK) 's Twitter Profile Photo

Mwezi Julai 2024 itazinduliwa PORTAL maalum kwa ajili ya kutoa taarifa kwa umma wa Tanzania kuhusu fursa mpya zilizopo Nchini Uingereza na Ireland; na umma wa nchi hizo kuhusu fursa zilizopo Tanzania. Portal hiyo imeundwa na Ubalozi kwa kushirikiana na wanadiaspora Joe Ndilla na

account_circle
Tanzania High Commission in London(@TZEmbassyUK) 's Twitter Profile Photo

Tanzania High Commission has officially joined the Fresh Produce Consortium (FPC) as an associate member effective today (23rd April 2024). FPC is the UK's Fresh Produce Association with a vast network of retailers, distributors, importers and wholesalers of fruits, vegetables

FIRST Strategic Insight(@StrategicFirst) 's Twitter Profile Photo

60th Anniversary of diplomatic relations between UK and Tanzania
HE Mbelwa Kairuki, High Commissioner of the United Republic of Tanzania and Rupert Goodman, Chairman of FIRST, meet to discuss the important bilateral relationship between the UK and Tanzania.

60th Anniversary of diplomatic relations between UK and Tanzania HE Mbelwa Kairuki, High Commissioner of the United Republic of Tanzania and Rupert Goodman, Chairman of FIRST, meet to discuss the important bilateral relationship between the UK and Tanzania.
account_circle
Hassan Khamis 🇵🇸(@hassankham1s) 's Twitter Profile Photo

Tunaposema kuwa tutaendeleza utamaduni wetu wa Kizanzibari popoye tulipo tunaamisha hivi. Leo hii tunajaribu mitambo ya Taarab kwa ajili ya simmer hapo Stratford East London.

account_circle
Tanzania High Commission in London(@TZEmbassyUK) 's Twitter Profile Photo

Mkutano kuhusu fursa ya uwekezaji katika amana za Serikali utafanyika tarehe 12 Mei 2024 kuanzia saa 8 mchana (kwa saa za Uingereza). Wanadiaspora wanakaribishwa kushiriki katika mkutano huo utakaofanyika kwa njia ya mtandao. Wenye nia ya kushiriki wanatakiwa kujisajili kupitia

Tanzania Diaspora Youth Talk is scheduled to take place on the 5th of May 2024 from 4 PM (GMT). Interested participants should register through the link below: docs.google.com/forms/d/e/1FAI…

Tanzania Diaspora Youth Talk is scheduled to take place on the 5th of May 2024 from 4 PM (GMT). Interested participants should register through the link below: docs.google.com/forms/d/e/1FAI…
account_circle
mbelwa Kairuki(@MbelwaK) 's Twitter Profile Photo

I was honoured and humbled to meet Mzee Vinoobhai H Doshi, a nonagenarian diaspora, at the Friends of Tanzania reunion in London.

  Mzee Doshi made a significant contribution to Tanzania's financial sector. He worked for the government of Tanzania from 1965 to 1974. He started

I was honoured and humbled to meet Mzee Vinoobhai H Doshi, a nonagenarian diaspora, at the Friends of Tanzania reunion in London.   Mzee Doshi made a significant contribution to Tanzania's financial sector. He worked for the government of Tanzania from 1965 to 1974. He started
account_circle
mbelwa Kairuki(@MbelwaK) 's Twitter Profile Photo

Ninatoa pole kwa Clouds Media kwa Msiba mzito wa Mtangazaji wake Mahiri Gardner Habash. Wakati wa uhai wake nilipata fursa ya kushiriki mara kadhaa katika kipindi cha Jahazi ambapo Gardner na watangazaji wenzake walikuwa na msaada mkubwa sana kutuwezesha kuelimisha umma

MFA Tanzania(@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

President of the United Republic of Tanzania,Samia Suluhu has arrived in Ankara, Turkiye for a state visit. Upon arrival, H.E. President Samia was welcomed by the Turkish Minister of Family & Social Services, Hon. Mahinur Özdemir Göktaş

President of the United Republic of Tanzania,@SuluhuSamia has arrived in Ankara, Turkiye for a state visit. Upon arrival, H.E. President Samia was welcomed by the Turkish Minister of Family & Social Services, Hon. @MahinurOzdemir
account_circle
Tanzania High Commission in London(@TZEmbassyUK) 's Twitter Profile Photo

Mkutano kuhusu fursa za Scholarships katika Chuo Kikuu cha Oxford utafanyika tarehe 1 Mei 2024. Wenye nia ya kushiriki wanaweza kujisajili kupitia link hapo chini: forms.gle/7LVHzAThBxvADH…

Mkutano kuhusu fursa za Scholarships katika Chuo Kikuu cha Oxford utafanyika tarehe 1 Mei 2024. Wenye nia ya kushiriki wanaweza kujisajili kupitia link hapo chini: forms.gle/7LVHzAThBxvADH…
account_circle
mbelwa Kairuki(@MbelwaK) 's Twitter Profile Photo

Ninawatakia Heri Wanadiaspora katika ziara yenu ya China. Kwa hakika mtapata fursa ya kujifunza mengi kuhusu fursa za kiuchumi zilizopo China pamoja na kupata contacts mpya za Makampuni mbalimbali ya biashara na wanadiaspora wenzenu waliopo China.

Ninatoa shukrani za dhati

account_circle
Tanzania High Commission in London(@TZEmbassyUK) 's Twitter Profile Photo

Tamasha la Siku ya Kiswahili litafanyika jijini London kuanzia tarehe 4-7 Julai 2024. Tamasha hilo litajumuisha matukio mbalimhali ikiwa ni pamoja na michezo, burudani na maandamano. Taarifa ya tamasha hiyo imetolewa jijini London na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jambo

Tamasha la Siku ya Kiswahili litafanyika jijini London kuanzia tarehe 4-7 Julai 2024. Tamasha hilo litajumuisha matukio mbalimhali ikiwa ni pamoja na michezo, burudani na maandamano. Taarifa ya tamasha hiyo imetolewa jijini London na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jambo
account_circle
mbelwa Kairuki(@MbelwaK) 's Twitter Profile Photo

It was a pleasure to meet Mr. Graham Pepe, Emirates airline's UK Corporate Sales Manager. We discussed the opportunity for Tanzanian horticulture exporters to use emirates to fly their cargo to the UK as well as the possibility of having a special package for Diaspora and

It was a pleasure to meet Mr. Graham Pepe, @emirates airline's UK Corporate Sales Manager. We discussed the opportunity for Tanzanian horticulture exporters to use emirates to fly their cargo to the UK as well as the possibility of having a special package for Diaspora and
account_circle