Khamis Suedi Kagasheki
@KKagasheki
Diplomat and Politician #ProudlyTanzanian
ID:27941444
31-03-2009 19:25:37
56,3K Tweets
161,4K Followers
2,6K Following
Follow People
For those whose endless contemplation is on the purpose of their being, solitude is their permanent home.
#KSK_Balozi
Kaa mbali na watu ambao hupenda kutumia muda mwingi kuongelea juu ya watu au maisha ya watu.
# #KSK_Balozi
Ukijali afya yako na ukajali muda wako, moja kwa moja utakuwa umejitoa katika mambo yasiyo kukhusu.
# #KSK_Balozi
Kijicho ni maradhi mabaya. Ukiyafumbia macho, fahamu unalea saratani ya kuondolea uhai wako.
# #KSK_Balozi
Alisema Mzee mmoja,taji ni zito mno laiti watu wangelijua wasingelilikimbilia.
# #KSK_Balozi
Mwisho wa siku watu watakupongeza sio kwa kile ulichokirithi bali kwa kile ulichokitengeneza kwa jasho lako.
#KSK_Balozi