
Meddy
@theinitiate1
I express things as i know them to be.
ID: 1422237682944577536
02-08-2021 16:47:52
3,3K Tweet
729 Takipçi
459 Takip Edilen





#Updates Mpaka sasa JAPHET MATARRA amechangiwa TZS. 742,000, tumefikia nusu ya lengo la kupata TZS. 1.5M ili kuwezesha MATARRA afanyiwe matibabu ya Upasuaji kesho.!!! WASIOJULIKANA wamemvunja taya mara 2, Anapitia maumivu makali sana..!! Halopesa: 0627422184 Jina: SAMWELI MATARA.


Another endless extrajudicial execution. How many deaths will it take for you to stop this KNCHR KHRC National Police Service-Kenya Inspector General of Police- Kenya.

‼️WALIOPOTEZA MAISHA AJALI YA MEATU CCM NI ZAIDI‼️ Mdau analia ndugu yake amefariki kwenye ajali na si wanne kama Samia Suluhu alivyodai! Hebu acheni kucheza na maisha ya watanzania Chama Cha Mapinduzi hawa wamefariki wakiwa mikononi mwenu mnawasomba kama mifugo! Take responsibility!




youtu.be/qkFhiIcXePw?si… Maria Sarungi Tsehai Think Different


.Hilda Newton kuna ombi hapa kutoka kwa #Jasusi, uwasiliane nae faragha akutumie pesa kidogo ya soda kutokana na kazi kubwa ya kutukuka uliyoifanya leo. Pia Jasusi atashukuru endapo wadau wengine mtaunga mkono hoja kwa kumtumia Hilda chochote kile.



