mjukuu🇧🇪(@thedoni3) 's Twitter Profileg
mjukuu🇧🇪

@thedoni3

DT|father|founder @yanguMeno | @ArsenalFc |simba|Director MD

ID:3975435849

calendar_today16-10-2015 23:38:53

38,1K تغريدات

7,1K متابعون

1,4K التالية

Follow People
NTOBI(@Ntobi_) 's Twitter Profile Photo

📍 - Shinyanga.

Utukufu na sifa ni kwa Mungu.

Shukrani kwa Mwamba Freeman Mbowe kakubali kupeleka maandamano haya Kahama- (Ili kuamsha ari ya Chama katika majimbo ya Ushetu, Msalala na Kahama yenyewe)

Shukrani kwa wanashinyaga kwa kuandamana kwa amani, umbali wa

📍#Kahama - Shinyanga. Utukufu na sifa ni kwa Mungu. Shukrani kwa Mwamba @freemanmbowetz kakubali kupeleka maandamano haya Kahama- (Ili kuamsha ari ya Chama katika majimbo ya Ushetu, Msalala na Kahama yenyewe) Shukrani kwa wanashinyaga kwa kuandamana kwa amani, umbali wa
account_circle
Hilda Newton(@HildaNewton21) 's Twitter Profile Photo

Tanzania ni nchi ya ajabu sana.

Hivi nani ambae aliweka huu utaratibu wa kipuuzi namna hii yani mmetumia mabilioni kutengeneza movie ya royal tour halafu mnakuja kuharibu kwa mambo ya kijinga kama haya🚮

account_circle
Claudia Kuzniak(@ClaudiaKuzniak) 's Twitter Profile Photo

Joseph Oleshangay When I brought school supplies for poor students to Tanzania, they demanded payment of $100 (and got it) or they were going to confiscate all items (pencils, paper, books, etc.). Tanzania is so corrupt and treats its charitable help so poorly, it's a wonder anyone goes there.

account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka za serikali zinapo ongozwa na vilaza na watu washamba haya ndiyo madhara yake.

Usikute hao maofisa hata hiyo Drone hawajawahi kuiona au Kujua kazi zake.

account_circle
Ayubu Madenge(@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1.TPA
2.TRA
3.NHIF
4.TCRA
5.PPRA
6.BRELA
7.HESLB
8.EWURA
9.TACAIDS
10.SUMATRA
11.TAKUKURU
12.TANROADS

Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa; 1.TPA 2.TRA 3.NHIF 4.TCRA 5.PPRA 6.BRELA 7.HESLB 8.EWURA 9.TACAIDS 10.SUMATRA 11.TAKUKURU 12.TANROADS
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

APOTEZA MAISHA BAADA YA KUPIGWA NA ELIBARIKI EMMANUEL KINGU (Mbunge wa Singida Magharibi.)

Bwana Peter Timael Mtinangi ambaye amejitokeza kwenye vyombo vya Habari na mitandao ya Kijamii kulalamika kupigwa na kufanyiwa ukatili na Mbunge wa CCM Bwana Elibariki Emmanuel Kingu

account_circle
Chande waleo(@chandewaleonew) 's Twitter Profile Photo

Godbless E.J. Lema Elibariki Immanuel Kingu Mungu akuone vyema kwa macho yake na ukuu wake ukae na ww sambamba na matendo yako laaaaniwa sasa na hata kizazi chako kijacho kika laaanike milele na milele

Mungu Ata kutendea

account_circle
Bishoo(@Bishoobitozz) 's Twitter Profile Photo

Godbless E.J. Lema Elibariki Immanuel Kingu madaraka tu ndio umempiga uyu jamaa Hadi kupelekea ulemavu na kufariki?Watoto na mke wake watakosa malezi Bora sababu ya uroho wako wa madaraka.Poa bwana Kwa Mungu si kwanzungu

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Rafiki yetu amefariki jana na Mungu awalipe adhabu kali wale wote waliohusika na maumivu yake hata kumpelekea mauti.

account_circle