Beno Lyimo (@iamlyimo) 's Twitter Profile
Beno Lyimo

@iamlyimo

AGRICULTURE.

ID: 1362836917486837767

calendar_today19-02-2021 18:50:38

69,69K Tweet

13,13K Followers

2,2K Following

Beno Lyimo (@iamlyimo) 's Twitter Profile Photo

Mbona mimi hamnipiki na video zangu nikizungumza, au nawezea ? 😁 btw kila kijana ili atoboe communication skills ni must πŸ˜‚

Beno Lyimo (@iamlyimo) 's Twitter Profile Photo

Wanakupika lakini communication skills ni ngumu sana mze, replace filler words kama "aaah" "mmmh" kwa ku pause. Hauko mwenyewe πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚

Beno Lyimo (@iamlyimo) 's Twitter Profile Photo

Epuka ajali za kuanguka kwenye miti mirefu🌱 Piga πŸ“ž0754302242 Ujipatie miti ya matunda ya kuvuna ndani ya muda mfupi πŸ“SUA, Morogoro

Beno Lyimo (@iamlyimo) 's Twitter Profile Photo

Leo wakati nafanya trellising kwenye nyanya karibia nianguke, ila nikawa fasta kama PAKA Wakulima wa vitunguu na mahindi acheni hizo πŸ˜‚πŸ˜‚

Beno Lyimo (@iamlyimo) 's Twitter Profile Photo

Nashukuru sana mkuu, wewe ni moja ya wateja ambao natamani kupata, kila siku feedback 🌱πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜ƒ

Beno Lyimo (@iamlyimo) 's Twitter Profile Photo

Kama wewe ni Gen Z, ni salamu gani moja unaweza kutumia kwa Wakubwa, professors, maskini, matajiri au age mates wako bila kufeel umewadisrespect ?