๐๐ซ๐จ๐ ๐๐ญ๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐๐ฎ๐ฃ๐ฎ๐ข
@profutajuahujui
๐๐๐ญ๐ข๐ฏ๐ข๐ฌ๐ญ | ๐
๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฐ ๐๐ง๐ฌ๐ญ๐๐ ๐ซ๐๐ฆ ๐ instagram.com/prof_utajua_huโฆ |
๐
๐๐๐๐๐จ๐จ๐คโ
ID: 1504390687286038530
17-03-2022 09:34:43
64,64K Tweet
744 Followers
81 Following
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akisalimiana na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe walipokutana barabara ya Msimbazi mwenyekiti akiongoza maandamano ya amani. #VuguvuLaKudaiHaki
Msafara wa maandamano wa Makamu Mwenyekiti Mhe. Tundu Antiphas Lissu ukiwasili Shekilango kuungana na msafara wa maandamano wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe kuelekea ofisi za UN. #VuguvuguLaKudaiHaki

DICKSON LUCAS MATATA ameteuliwa na Kamati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya uwenyekiti Kanda ya Magharibi. Uchaguzi katika Kanda hiyo utakaofanyika tarehe 29 Mei, 2024 na kusimamiwa na ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama. Adv. Dickson Matata
"Nyumba zimechomwa moto, shule zimevunjwa, mifugo imeuliwa, mazao yameporwa, na kumetokea matukio ya ubakaji na mauaji kwenye Operesheni za kikatili zinazoendeshwa na TAWA, TFS kwa kushirikiana na vyombo vya dola Kaliua." LHRC Mdude Chadema Maria Sarungi Tsehai