Obby Claud
@obbyclaud
↪➡ #TrendingNewzPRODUCER🔥🔥
↪➡ #TheParckagePRODUCER 🔥 🔥
↪➡ #Journalist
↪➡ #EntertainmentRadioProgramPRODUCER 📻
ID: 4461154433
http://obbyclaud.blogspot.com 12-12-2015 16:40:31
1,1K Tweet
77 Followers
304 Following
“Nimechoka kutuma salamu za rambirambi za ajali kila siku huku Waziri wa Mambo ya Ndani akiwa kimya wala haendi kuzika anazurura tu Watu wanakufa kila siku, mnasubiri mpaka wafe wangapi ndipo mchukue hatua?” Dr John Magufuli #NiBusu!
⏩ #Ona 1M Views Lulu Diva anasema sio kwamba et bila Rich Mavoko isingefika hapo noooo.. yeye ndiye mwenye wimbo na ananafasi yake.... Zaidi utamsikia kwenye #TrendingNewz .... 1200-1215hrs... 📻 Kings FM Radio 1 0 4 . 3MHz, AzamDish Channel No 055, #kingfmradioandroidapp.
14-Sep Asante Familia Yangu Ndugu Zangu Watu Wangu wote wa Karibu... Dada na Kaka Zangu Wote wa Hiari Kings FM Radio Family..... Thanks God I Got a New Age. Happy Birthday To Me
Tukiachana na Ujumbe wa Kamati ya Shule Joyce Ndalichako lakini pia ni kada wa Chama Cha Mapinduzi Vipi Mnasemaje kwenye hili?
Naibu Waziri wa nishati Subira Mgalu Atasikika live Kings FM radio ndani ya Kingsdrive siku ya Ijumaa December 21 Kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 4 Asubuhi #kingsdrive ya Kings FM Radio Nanah Jacob mfaume pastory Na @manka_eve. Usikose kusikiliza Kings FM Radio