OTTOMAN (@katumakagusa) 's Twitter Profile
OTTOMAN

@katumakagusa

ID: 1566154350988337152

calendar_today03-09-2022 20:01:37

6,6K Tweet

140 Takipรงi

203 Takip Edilen

OTTOMAN (@katumakagusa) 's Twitter Profile Photo

Mpaka sasa kwa mujibu wa maelezo yake aliyoyatoa ni kwamba tajiri moo dewji ameshatumia "blion" 88 pale ukoloni 20b + 25b = 85b (kwa mijibu wa moo) + 3b za usajili wa msimu huu. Jumla 88b

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu amemteua January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.

Rais Samia Suluhu amemteua January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
OTTOMAN (@katumakagusa) 's Twitter Profile Photo

Oya Masoud Kipanya hebu tupe katuni moja hapo vile watanzania tutakovyoonekana tukiwa kwenye majoho baada ya kuhitimu shahada ya mafunzo ya katiba mpya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Pasco Nkololo (@nkololotz) 's Twitter Profile Photo

Ili apate matibabu ya TZS 90M inatakiwa Tweeps efu tisini wachange buku buku. Hii kiuzoefu sio rahisi kwa sababu tunajuana. She has been on bed for years, amechangisha for years ameishia kupata 3M. Tumsaidie RTs hadi Waziri wa Afya aipate, Mama Samia Suluhu aipate etc. Huyu

Ili apate matibabu ya TZS 90M inatakiwa Tweeps efu tisini wachange buku buku. Hii kiuzoefu sio rahisi kwa sababu tunajuana.

She has been on bed for years, amechangisha for years ameishia kupata 3M. Tumsaidie RTs hadi Waziri wa Afya aipate, Mama <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> aipate etc.

Huyu
OTTOMAN (@katumakagusa) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

OTTOMAN (@katumakagusa) 's Twitter Profile Photo

Robetinho: nilimwambia manula ajiangushe zile dakika za mwisho ili tusifungwe nyingi zaidi maana wenzetu walikuwa hawana huruma.

Robetinho: nilimwambia manula ajiangushe zile dakika za mwisho ili tusifungwe nyingi zaidi maana wenzetu walikuwa hawana huruma.
OTTOMAN (@katumakagusa) 's Twitter Profile Photo

Yaani timu yako imefungwa 5 halafu unawekewa kiingilio cha sh. 5,000 na wewe unaenda kweli? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคš๐Ÿคš