YESCO (@notorius2014) 's Twitter Profile
YESCO

@notorius2014

🌐@simbasportsclub diehard fan 🌐 listener & thinker 🌐football lover

ID: 2380675333

calendar_today09-03-2014 16:02:33

3,3K Tweet

422 Followers

267 Following

Tristan (@tristannel8) 's Twitter Profile Photo

We will begin tomorrow morning🙏 I will be adding a goal for this,once we win all 10 days I will be sending the R20k to a charity that gets the most votes🙏 We will not give up till we complete this challenge 💥

Rockstar✨️💼 (@rockstar_47bro) 's Twitter Profile Photo

--AYAAA wanangu leo kwa upande wangu nitataja baadhi ya timu zinazojulikana kwa kutoa matokeo ya GG (Both Teams to Score ) --Timu hizi mara nyingi zinatoa matokeo ya "GG" kutokana na mtindo wao wa kushambulia sana lakini pia kuruhusu mabao kutokana na muundo wao wa ulinzi

--AYAAA wanangu leo  kwa upande wangu nitataja baadhi ya 
timu zinazojulikana kwa kutoa matokeo ya GG (Both Teams to Score ) 

--Timu hizi mara nyingi zinatoa matokeo ya "GG" kutokana na mtindo wao wa kushambulia sana lakini pia kuruhusu mabao kutokana na muundo wao wa ulinzi
isSUe🧠bOy (@the_engineer777) 's Twitter Profile Photo

#RETWEET💥; ....Hizi hapa #Odds 10 kutoka zile odds 100 za TRENI LA SIKU LA SPORTYBET💥. Hakikisha unazicheza🙏. Kama kawqida Chapa #RETWEET💥, then chukua #Code......#Tuondokeeeeeh...!!!🔥🔥🔥 COMPANY : SPORTYBET GENRE : DRAFT NO. 02(TRENI LA SIKU) TOTAL ODDS : 10

#RETWEET💥;

....Hizi hapa #Odds 10 kutoka zile odds 100 za TRENI LA SIKU LA SPORTYBET💥. Hakikisha unazicheza🙏. Kama kawqida Chapa #RETWEET💥, then chukua #Code......#Tuondokeeeeeh...!!!🔥🔥🔥

COMPANY : SPORTYBET
GENRE : DRAFT NO. 02(TRENI LA SIKU)
TOTAL ODDS : 10
peguy_tbn (@peguy_tbn) 's Twitter Profile Photo

🚨+500 ODDS 🇧🇦Bosnia⚡️Germany🇩🇪 💡Germany 🇮🇹Italy⚡️lsrael🇮🇱 💡Home 🇫🇮Finland⚡️England🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 💡England 🇩🇪Germany⚡️Netherlands🇳🇱 💡BTTS 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿England⚡️Greece🇬🇷 💡Home 🇪🇸Spain⚡️Denmark🇩🇰 💡+1.5 🇮🇹Italy⚡️Belgium🇧🇪 💡X 1 🇹🇷Turkey⚡️Montenegro🇲🇪 💡Turkey 🇨🇿Czech⚡️Albania🇦🇱 💡X 1

isSUe🧠bOy (@the_engineer777) 's Twitter Profile Photo

Hili dude la milioni 90 la kibabe sana🔥🔥🔥 #RETWEET💥 yako tu kama ulikosa #Code nikutumie DM, chap sasa😀💰💰💰

Hili dude la milioni 90 la kibabe sana🔥🔥🔥
#RETWEET💥 yako tu kama ulikosa #Code nikutumie DM, chap sasa😀💰💰💰
isSUe🧠bOy (@the_engineer777) 's Twitter Profile Photo

#RETWEET💥; .....Huwa anarukarukaaaa ila sio kwenye mali ya #MAGOLI💥 kudadeki...!!!. Hii hapa mali ya magoli kutoka #SPORTYBET💥 #Odds 174, imenyookaaaah...!!!🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥🔥🔥. Hakikisha unaipata.🙏 .....Wewe haupo #VIP sio?! Chapa #RETWEET💥 chaaaap kisha comment "CODE"📌 then

#RETWEET💥;

.....Huwa anarukarukaaaa ila sio kwenye mali ya #MAGOLI💥 kudadeki...!!!. Hii hapa mali ya magoli kutoka #SPORTYBET💥 #Odds 174, imenyookaaaah...!!!🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥🔥🔥. Hakikisha unaipata.🙏
.....Wewe haupo #VIP sio?! Chapa #RETWEET💥 chaaaap kisha comment "CODE"📌 then
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kijana mwenzangu unayepitia kipindi kigumu cha kushindwa na kukataliwa amini kwamba licha ya kutokua na wazazi matajiri, ndugu wenye mamlaka au marafiki wenye msaada bado utaibuka mshindi. Kuwa Imara kwani Story yako bado haijaisha na MUNGU hawezi kukuacha.

Kijana mwenzangu unayepitia kipindi kigumu cha kushindwa na kukataliwa amini kwamba licha ya kutokua na wazazi matajiri, ndugu wenye mamlaka au marafiki wenye msaada bado utaibuka mshindi. Kuwa Imara kwani Story yako bado haijaisha na MUNGU hawezi kukuacha.
Samalen Tips🤴 (@samalentips) 's Twitter Profile Photo

Juzi,Jana, tumeshinda mikeka yetu leo pia tutashinda tena tutashinda mikeka yote. Repost kisha weka comment uniachie kazi ya kukusogezea mikeka hii dm mapema maana mechi leo zinaanza saa 12 mwisho kupokea mikeka ni saa 11 jioni Samalen Tips🤴🫆 🤩

Juzi,Jana, tumeshinda mikeka yetu leo pia tutashinda tena tutashinda mikeka yote. Repost kisha weka comment uniachie kazi ya kukusogezea mikeka hii dm mapema maana mechi leo zinaanza saa 12 mwisho kupokea mikeka ni saa 11 jioni <a href="/Samalentips/">Samalen Tips🤴🫆</a> 🤩
Shaaban Said  (@shaabansaidtz) 's Twitter Profile Photo

Game kama hii mara ya mwisho ilikata game 3 TU kuchukua Mil 90. Nikarudia nilishinda Mil 12 ikaniuma nilicheza mwenyewe. Narudia tena na Wana mtaani, nimefanya Kwa utulivu mkubwa zaid, Amin kuwa mwaka unaisha unajenga na gari unanunua inshaAllah 🙏 RETWEET

Game kama hii mara ya mwisho ilikata game 3 TU kuchukua Mil 90. 

Nikarudia nilishinda Mil 12 ikaniuma nilicheza mwenyewe.  

Narudia tena na Wana mtaani, nimefanya Kwa utulivu mkubwa zaid, Amin kuwa mwaka unaisha unajenga na gari unanunua inshaAllah 🙏

RETWEET
GodDid (@kingwakitaa01) 's Twitter Profile Photo

Sala ya Asubuhi ya Jumatano Ee Mungu mwenye huruma na upendo, Asante kwa kuniamsha salama siku hii ya Jumatano. Naomba uongozi wako katika kila hatua ya maisha yangu leo. Nitie nguvu kwa kazi na majukumu yaliyo mbele yangu, Na unilinde na mabaya yote ya mwili na roho. Nikumbushe

Sala ya Asubuhi ya Jumatano

Ee Mungu mwenye huruma na upendo,
Asante kwa kuniamsha salama siku hii ya Jumatano.
Naomba uongozi wako katika kila hatua ya maisha yangu leo.
Nitie nguvu kwa kazi na majukumu yaliyo mbele yangu,
Na unilinde na mabaya yote ya mwili na roho.
Nikumbushe
GodDid (@kingwakitaa01) 's Twitter Profile Photo

Mungu wangu mpendwa, Nakushukuru kwa kuniwezesha kuona siku nyingine mpya. Naomba uniongoze leo kwa hekima yako, Unipe nguvu za kushinda changamoto za siku hii, Na moyo wa shukrani kwa kila baraka. Niongoze nitembee katika njia zako, Nikupende na kuwahudumia wengine kwa upendo.

Mungu wangu mpendwa,
Nakushukuru kwa kuniwezesha kuona siku nyingine mpya.
Naomba uniongoze leo kwa hekima yako,
Unipe nguvu za kushinda changamoto za siku hii,
Na moyo wa shukrani kwa kila baraka.

Niongoze nitembee katika njia zako,
Nikupende na kuwahudumia wengine kwa upendo.
Mohammed Dewji MO (@moodewji) 's Twitter Profile Photo

Twende Kazi! 💪🏽 #2025, natafuta wajasiriamali wa kuwawezesha nchini #Tanzania. Ni sehemu gani katika biashara yako ungependa kuwa na rasilimali zaidi au msaada ili iweze kukua? Je, biashara yako iko tayari kufaidika na msaada na uwekezaji ili kukua? Taja mafanikio uliyopata

Twende Kazi! 💪🏽 #2025, natafuta wajasiriamali wa kuwawezesha nchini #Tanzania. 

Ni sehemu gani katika biashara yako ungependa kuwa na rasilimali zaidi au msaada ili iweze kukua? Je, biashara yako iko tayari kufaidika na msaada na uwekezaji ili kukua?

Taja mafanikio uliyopata
_Zahiri sunflower_ (@isujahuseni) 's Twitter Profile Photo

Mohammed Dewji MO Mohammed Dewji MO Biashara mafuta ya alizeti alhamudallah imenitoa kwenye boda nipo napmbana. Changamoto mtaji bado mdogo tunapanga barabarani #malengo2025 nipate frem niweke maharage,mchele na bidhaa nyingine za nafaka 0687329152 0654377242 isuja mzaifu

<a href="/moodewji/">Mohammed Dewji MO</a> <a href="/moodewji/">Mohammed Dewji MO</a>  Biashara mafuta ya alizeti  alhamudallah imenitoa kwenye boda  nipo napmbana.
Changamoto mtaji bado mdogo tunapanga barabarani 
#malengo2025 nipate frem niweke maharage,mchele na bidhaa nyingine za nafaka
0687329152
0654377242 isuja mzaifu
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Bro kama unafanya kazi na unapokea Take home kuanzia 500k hadi 1M, nipe muda wako nikupe wazo la kibiashara linaloweza kukuinua kiuchumi kwa muda mfupi. Usitazame kiasi kidogo cha mtaji nilichokutajia ukaanza kubeza, wewe nipe muda wako kwa kusoma hapa hutatoka bure.

Bro kama unafanya kazi na unapokea Take home kuanzia 500k hadi 1M, nipe muda wako nikupe wazo la kibiashara linaloweza kukuinua kiuchumi kwa muda mfupi.

Usitazame kiasi kidogo cha mtaji nilichokutajia ukaanza kubeza, wewe nipe muda wako kwa kusoma hapa hutatoka bure.