Lulu Diva (@luludivatz) 's Twitter Profile
Lulu Diva

@luludivatz

SexyLady💋💕 Musician🎤 👸Actress
New Hit #SAMAHANI ft Lavalava Video is Out now watch ⬇️

ID: 4496362665

linkhttps://youtu.be/z3ctoCgs3PE calendar_today15-12-2015 22:19:23

1,1K Tweet

6,6K Takipçi

25 Takip Edilen

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Ni Road to #XtraUniBash2020 Jangwani Sea Breeze Jumamosi hii, kwenye #XXLyaCloudsFM leo anadondoka Sexy Lady wa Bongo Fleva Lulu Diva Mrembo ambaye ni jukwaa hili hili miaka kadhaa nyuma lilimpa green lights kuonyesha unyama wake kwenye game. 🔥🔥🔥

Deoxz Keezy (@deoxz) 's Twitter Profile Photo

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Ni J’mosi nzuri kwa Lulu Diva na Mashabiki wanaopenda ku-support Wasanii wao, Diva amepiga hatua nyingine ya utafutaji baada ya leo kufungua duka la vitu vya nyumbani Mbezi Beach Afrikana DSM likiuza vitu kama kuku, samaki, mayai, matunda, mboga n.k. #MillardAyoUPDATES

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Lulu Diva amezindua Nyimbo yake ya #Mama ambayo ni makhsusi kabisa kwaajili ya mama yake pamoja na Wakina mama wote ambao wanapitia hali kama ya mama yake.!Sasa ndugu zenu Maulid Kitenge Charles William pamoja na Official Zungu wanataka kuwa ma-back vocal wa Lulu Diva

collman peter (@fikrazamlalahoi) 's Twitter Profile Photo

Lulu diva - Mama 🎶🎵🎶 moja ya nyimbo bora saana, ujumbe mkubwa saana, inahuzunisha. Tuwapende na tuwatunze wazazi wetu.... Lulu Diva

KONCEPT TV (@koncept_tv) 's Twitter Profile Photo

#NewVideo : Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa #Mama. Lulu Diva amesema wimbo huo ni makhsusi kabisa kwaajili ya mama yake pamoja na Wakina mama wote ambao wanapitia hali kama ya mama yake. #KonceptUPDATES

abby1thebest (@abby1thebst) 's Twitter Profile Photo

Lulu Diva waja sie kukimbizana na vinavyo trend hatujambo Ila naamini kama #MAMA yako alikupa baraka basi jua jambo limebarikiwa. Nikwambie tu kwenye #MAMA hii umetugusa kila ambaye atapita kuona video yako atajifunza kitu kinaitwa upendo wa #MAMA

Lulu Diva waja sie kukimbizana na vinavyo trend hatujambo Ila naamini kama #MAMA yako alikupa baraka basi jua jambo limebarikiwa.

Nikwambie tu kwenye #MAMA hii umetugusa kila ambaye atapita kuona video yako atajifunza kitu kinaitwa upendo wa #MAMA
Mdundo Tanzania (@mdundotanzania) 's Twitter Profile Photo

Nyimba Mpya 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾: Lulu Diva Aachia Ngoma Mpya Kwa Jina ‘Mama' [Video] - News | Mdundo.com Soma zaidi hapa mdundo.com/news/30624 #MdundoNews #MdundoTZ #MdundoSwahili

Nyimba Mpya 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾:
Lulu Diva Aachia Ngoma Mpya Kwa Jina ‘Mama' [Video] - News | Mdundo.com
Soma zaidi hapa mdundo.com/news/30624
#MdundoNews #MdundoTZ #MdundoSwahili
S2N ENT (@s2n_ent) 's Twitter Profile Photo

Mothers are special beings, It’s only right we celebrate them with Lulu Diva’s single “MAMA” ❤️ Watch it playing now on the E.A Queens show [Ch. 362 on Azam TV]! @azamtvug Azam TV Azam TV Rwanda #ChannelUMusic #StrictlyEastAfrican

Lulu Diva (@luludivatz) 's Twitter Profile Photo

Hello habari ..naitwa Lulu Diva naomba support yako ku subscribe , like & comment nyimbo yangu mpya #SAMAHANI Featuring Lava Lava, Nyimbo ipo available katika platform zote Audiomack na zingine mbali mbali.#SAMAHANI🔥🔥💥 BONYEZA LINK 👇🏽👇🏽 youtu.be/z3ctoCgs3PE

Lulu Diva (@luludivatz) 's Twitter Profile Photo

#Kawaida Video Challenge📺💥 Out Now kindly go watch, like, comments, share and subscribe to Lulu Diva Youtube channel... Thanks to you all fans and any one who made this possible😍😍🙌🙌🙌🙌 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 youtu.be/_DYk8IO-EYM