Necto Kitiga (@nectokitiga) 's Twitter Profile
Necto Kitiga

@nectokitiga

Makamu Mwenyekiti wa Bavicha Taifa 2025/2029.

ID: 1029431611073482754

linkhttp://Nectokitiga.com calendar_today14-08-2018 18:16:36

35,35K Tweet

45,45K Followers

2,2K Following

Grace Shio (@graceshio03) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu Pambalu John Pambalu Mkurugenzi wa Uchaguzi, oganizesheni na Mafunzo akiwa kazini Kanda ya Nyasa. Kuvunjwa mguu na Polisi hakujamuondolea kiu yake ya kuona mabadiliko katika Taifa. No reforms No election

Mwalimu Pambalu <a href="/John_Pambalu/">John Pambalu</a> Mkurugenzi wa Uchaguzi, oganizesheni na Mafunzo akiwa kazini Kanda ya Nyasa.

Kuvunjwa mguu na Polisi hakujamuondolea kiu yake ya kuona mabadiliko katika Taifa.

No reforms No election
MwanaHabari (@mwanahabarinews) 's Twitter Profile Photo

"Watu wa Singida, watu wa ardhi ya Tundu Lissu, tunahitaji kubadilisha nchi hii. Inawezekanaje ndugu zangu kwenye nchi tajiri kama hii imegeuzwa kuwa dampo la kila kitu? Mwalimu Nyerere aliweka Mechanism za kuikuza nchi hii kiuchumi vyote vimeuwawa.

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS: High Court bans CHADEMA. CHADEMA has been prohibited from conducting any executive activities and operations until the main case filed by former Zanzibar Deputy Chairman Saidi Issa Mohamed and others is heard. Photo: High Court Judge Hamidu Mwanga, a former

BREAKING NEWS: High Court bans CHADEMA. 

CHADEMA has been prohibited from conducting any executive activities and operations until the main case filed by former Zanzibar Deputy Chairman Saidi Issa Mohamed and others is heard. 

Photo: High Court Judge Hamidu Mwanga, a former
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Tumeruhusu Wazanzibar wawe ni waamuzi kwenye mambo yetu... Tulianza kwa kuruhusu Mzanzibari kuwa rais wa Nchi yetu ya Tanganyika... Sasa wamekuwa waamuzi kwenye kila kitu chetu...

Tumeruhusu Wazanzibar wawe ni waamuzi kwenye mambo yetu... Tulianza kwa kuruhusu Mzanzibari kuwa rais wa Nchi yetu ya Tanganyika... Sasa wamekuwa waamuzi kwenye kila kitu chetu...
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#ToneTone la Tabora Mjini Leo🫶 Serikali ya Idd Amini Mama ikiona haya Mahaba ya Wananchi kwa CHADEMA inakimbilia Mahakamani kuambia Mahakama itufungie.

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

APEWE MAUA YAKE AKIWA HAI!!! Kumwachia Chama kipindi kigumu kama hiki na bado mambo yanaenda sawa it's no easy Wakuu. Huyu bwana ni chuma, Chuma kweli kweli. You got my respect Comrade John Heche 🫡

APEWE MAUA YAKE AKIWA HAI!!!

Kumwachia Chama kipindi kigumu kama hiki na bado mambo yanaenda sawa it's no easy Wakuu.

Huyu bwana ni chuma, Chuma kweli kweli.
You got my respect Comrade <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> 🫡
Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Kama Chama chako kinaitwa cha upinzani na kinafanya siasa smooth hapa nchini Tanzania bila kashikashi zozote, huo ni uongo. Chama chako sio cha upinzani. Ni ama chama kisicho na impact yoyote za kisiasa, au ni kitendea kazi (tool) cha CCM. Nawasilisha! Dr. Chris Cyrilo.

Kama Chama chako kinaitwa cha upinzani na kinafanya siasa smooth hapa nchini Tanzania bila kashikashi zozote, huo ni uongo. Chama chako sio cha upinzani. Ni ama chama kisicho na impact yoyote za kisiasa, au ni kitendea kazi (tool) cha CCM.
Nawasilisha!
Dr. Chris Cyrilo.
Necto Kitiga (@nectokitiga) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu alituasa na kuwa tayali kwa MAPAMBANO, Alisema tuendako sio kwepesi hata kidogo. Yanayoendelea kutokea ndio yaleyale aliyotuasa. Aluta Continua

Necto Kitiga (@nectokitiga) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa CCM unakosa akili Ukikosa akili unakosa Aibu Ukikosa aibu unakuwa hayawani, tapeli, dhulumati, muuaji, fisadi, mwizi na kila aina ya uhovyo CCM ni janga! Kwa hisani ya "weakman" wa Jamii Forums

Necto Kitiga (@nectokitiga) 's Twitter Profile Photo

Tunashikiria Button ya #NoReformsNoElection hadi siku nchi itakapopata mageuzi ya kweli katika sheria za uchaguzi na katiba ya nchi. Aluta Continua

Tunashikiria Button ya #NoReformsNoElection hadi siku nchi itakapopata mageuzi ya kweli katika sheria za uchaguzi na katiba ya nchi. Aluta Continua
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Msanii pekee wa maigizo, ucheshi na muziki aliyeamua kusimama na agenda ya UMMA ya #NoReformsNoElection. Ingawa, anasema wahuni wameanza kumtisha na kumueleza afute post zake. AMEGOMA. Ndiyo kwanza kaomba T-shirt ili awakeee. Anaitwa #LuluMapunda (Aunty Lulu). Tukam' follow IG.

Msanii pekee wa maigizo, ucheshi na muziki aliyeamua kusimama na agenda ya UMMA ya #NoReformsNoElection. Ingawa, anasema wahuni wameanza kumtisha na kumueleza afute post zake. AMEGOMA. Ndiyo kwanza kaomba T-shirt ili awakeee. Anaitwa #LuluMapunda (Aunty Lulu). Tukam' follow IG.