Father Khatri🇹🇿 (@mwampambajr) 's Twitter Profile
Father Khatri🇹🇿

@mwampambajr

From mbalizi, mbeya. Mzumbe & Rungwe, BsCN class of ~22, Oprah Health Center (RCH Incharge), DSM, 2024, Meatu District Hospital (Operating Theatre Incharge)

ID: 1199207558894039041

calendar_today26-11-2019 06:05:52

4,4K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

The University of Dodoma (@udomtheofficial) 's Twitter Profile Photo

Mwanafunzi Alexius Samson kutoka Ndaki ya Sayansi za Komputa na Elimu Angavu (CIVE) alishiriki mashindano ya “Next Genin Cyber Security” yaliyoshirikisha nchi 16 za SADC na kuibuka Mshindi wa Kwanza kwenye Nusu fainali na hatimaye Mshindi wa kwanza Fainali. HONGERA SANA!

Mwanafunzi Alexius Samson kutoka  Ndaki ya Sayansi za Komputa na Elimu Angavu (CIVE) alishiriki mashindano ya “Next Genin Cyber Security” yaliyoshirikisha  nchi 16 za SADC na kuibuka Mshindi wa Kwanza kwenye Nusu fainali na hatimaye Mshindi wa kwanza Fainali. 

HONGERA SANA!
Sekretarieti ya Ajira (@ajirapsrs) 's Twitter Profile Photo

Tuandikie ushuhuda wako kuhusu namna ulivyofanya usaili hadi kupata ajira ilikuaje, ulijiandaaje, Ili kumpa moyo mtu ambaye bado anapambana kutafuta ajira.

Tuandikie ushuhuda wako kuhusu namna ulivyofanya usaili hadi kupata ajira ilikuaje, ulijiandaaje, Ili kumpa moyo mtu ambaye bado anapambana kutafuta ajira.
BBC Sport (@bbcsport) 's Twitter Profile Photo

Marc Guehi says the 'Jesus loves you' message he wrote on his rainbow armband was one of "truth and love and inclusivity". #BBCFootball

Marc Guehi says the 'Jesus loves you' message he wrote on his rainbow armband was one of "truth and love and inclusivity".

#BBCFootball
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Sijui nini kilitokea kwa Chris Mugalu, ila katika Mastreika wa maana kuwahi kupita Simba miaka ya hivi karibuni alikuwa Mugalu, sifahamu nini kilitokea ila alikuwa Mchezaji wa maana sana huyu Mcongoman.

Sijui nini kilitokea kwa Chris Mugalu, ila katika Mastreika wa maana kuwahi kupita Simba miaka ya hivi karibuni alikuwa Mugalu, sifahamu nini kilitokea ila alikuwa Mchezaji wa maana sana huyu Mcongoman.
Williard (@prolific_88) 's Twitter Profile Photo

Kule facebook limeulizwa hili swali hapa👇🏿 Soma majibu kwenye comments ya mwisho kabisa itajufurahisha😂 Thread 🧵

Kule facebook limeulizwa hili swali hapa👇🏿

Soma majibu kwenye comments ya mwisho kabisa itajufurahisha😂

Thread 🧵
bWana SamweLi (@bwana_samweli) 's Twitter Profile Photo

fatma karume aka Shangazi Tukipunguza mihemuko na kujaribu kuliangalia hili swala kwa mapaba na marefu tutajua shida iko wapi na njia gani ni bora ya kulitatua…simtetei Kagame wala Tshisekedi all am saying is lets be logical rather than allowing our emotions to dictate how we make decisions

NO_BRAINER🇷🇼 (@kanisekere) 's Twitter Profile Photo

Dear TEMS , you shouldn’t behave this way without full info about the conflict between Rwanda and Congo . as an artist who inspires the next generation and mostly girls and women over the continent, picking side can affect your career. Music is a language spoken without

Dear <a href="/temsbaby/">TEMS</a> , you shouldn’t behave this way without full info about the conflict between Rwanda and Congo . as an artist who inspires the next generation and mostly girls and women over the continent, picking side  can affect your career.  Music is a language spoken without
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Wewe unaishi Mkoa wa Songwe. Jiulize au uliza wenyeji hapo. Kabila la Wanyamwanga, Wilaya ya Momba Chief wao yupo Tanzania? Mkuu wa Kabila yupo Zambia kwa sababu mkoloni aligawa tu mstari akalikata kabila hilo. Je Wanyamwanga waliopo Tanzania sio Watanzania? Wanyamwanga waliopo

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa Mashabiki waliokuwa uwanjani wanasema kadi nyekundu ya Derrick Mukombozi ilitokana na kumpapasa maungo Mchezaji wa Simba, hivyo Refa ndie aliona ndio maana akampatia Kadi nyekundu haikuwa kosa la kumpiga Mchezaji bali kumpapasa maungo. Kampapasa maungo kinyume na

Kwa mujibu wa Mashabiki waliokuwa uwanjani wanasema kadi nyekundu ya Derrick Mukombozi ilitokana na kumpapasa maungo Mchezaji wa Simba, hivyo Refa ndie aliona ndio maana akampatia Kadi nyekundu haikuwa kosa la kumpiga Mchezaji bali kumpapasa maungo.

Kampapasa maungo kinyume na
Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Aisee Kuna nchi zina matetemeko balaa, all in all Hawa manesi wanastahili pongezi Kubwa sana. Wamefanya kazi bora sana, full video ipo hapo kwa Comment.

Aisee Kuna nchi zina matetemeko balaa, all in all Hawa manesi wanastahili pongezi Kubwa sana.

Wamefanya kazi bora sana, full video ipo hapo kwa Comment.