Privaldinho(@privaldinho) 's Twitter Profileg
Privaldinho

@privaldinho

YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||

ID:791028608

calendar_today30-08-2012 07:14:28

21,9K Tweets

764,0K Followers

438 Following

Follow People
Privaldinho(@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

“Kwenye Derby, Mwenye moyo mgumu aje uwanjani” Ahmed Ally. Nafikiri madunduka mmemsikia msemaji wenu. Kama unahisi hujiwezi, usije kutufia uwanjani. Maisha yako ni muhimu kuliko kolozidad ya mwamedi. Mwamedi enyewe anaweza asije, sasa wewe jitoe ufahamu.

account_circle
SportPesa Tanzania(@TZSportPesa) 's Twitter Profile Photo

🎥 MKWANJA WA SUPA JACKPOT NI LEO !!!

💰 Bilioni 1,208,399,936 zinaweza kuwa zako

📱 Bashiri mechi 17 za kwa usahihi uwe BILIONEA kwa Buku 1 tu na pia kuna BONUS za kibabe.

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Eid Mubarak!

Katika sherehe hii njema ya Eid ul-Fitr, natoa salamu zangu za dhati na kuwatakia yote yaliyo mema kwa Waislamu wote duniani. Nawaombea siku hii iwe imejaa amani, furaha, na baraka kwenu na kwa wapendwa wenu.

Tunaposherehekea mwisho wa Ramadhani, tukumbuke masomo…

Eid Mubarak! Katika sherehe hii njema ya Eid ul-Fitr, natoa salamu zangu za dhati na kuwatakia yote yaliyo mema kwa Waislamu wote duniani. Nawaombea siku hii iwe imejaa amani, furaha, na baraka kwenu na kwa wapendwa wenu. Tunaposherehekea mwisho wa Ramadhani, tukumbuke masomo…
account_circle
Privaldinho(@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

Kwanini Ahmed Ally Acopy caption ya semi finalist aliyedhulumiwa akaitumia kwenye kipigo cha Mashujaa? 😂😂

Kwanini Ahmed Ally Acopy caption ya semi finalist aliyedhulumiwa akaitumia kwenye kipigo cha Mashujaa? 😂😂
account_circle