Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profileg
Think Different

@lifeofmshaba

#ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |

ID:253815675

linkhttps://forms.gle/1JbJ9n38cpsSu5UM7 calendar_today18-02-2011 01:07:14

198,8K Tweets

420,3K Followers

3,0K Following

Follow People
ZJC(@OfficialTchetc1) 's Twitter Profile Photo

Think Different Ila kiukweli
Wanaofanya hiv wanamdhalilisha kwa maana huo mwandiko wa mtu mmoja(chawa) kawabebesha wazee huenda hawaelew hata kilichoandikwa hapo ila picha ukute wanaidefine vbaya maana ukitazama hata nyuso zao znaonyesha

account_circle
Pendo(@Pendojory) 's Twitter Profile Photo

Think Different Kwanza hizo picha wamezitoa wapi? Yaani mtu hana hela ya kula ila ana hela ya kununua picha,hata nguvu ya macho hawana leo wanaweza wapi kuandika hivyo,wangeweza kuandika hivyo basi hata hela ya kula wasingekosa na akili ya kuitafuta na kujitegemea wangekua nayo

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Kinana nani anataka kuleta mafarakano kati ya CHADEMA Tanzania wanaotaka usawa kwenye muungano na Chama Cha Mapinduzi wanaouza rasilimali za Tanganyika pekee kwa mikataba mibovu? Kinana tunayo mafaili yako namna ulivyohusika na OBC Loliondo, utoroshaji wa wanyama na kupora ardhi ya Maasai.

Kinana nani anataka kuleta mafarakano kati ya @ChademaTz wanaotaka usawa kwenye muungano na @ccm_tanzania wanaouza rasilimali za Tanganyika pekee kwa mikataba mibovu? Kinana tunayo mafaili yako namna ulivyohusika na OBC Loliondo, utoroshaji wa wanyama na kupora ardhi ya Maasai.
account_circle
David Djumbe(@daviddjumbe) 's Twitter Profile Photo

Ogopa sana endorsement ya CCM kwa wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi wa ndani wa Chama.
CHADEMA ni Chama cha upinzani watawala ni CCM. Hatuwezi kuishinda CCM kwa kuwasikiliza wao Maria Sarungi Tsehai CHADEMA Tanzania Hilda Newton

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Uhuru wa tume ya uchaguzi unatokana na sheria inayounda tume hiyo pamoja na sheria za uchaguzi na wala sio kauli ya Kinana. Sisi tumeona sheria inayounda tume ni mbovu na sheria ya uchaguzi ni mbovu ndio maana tunaandamana kudai tume huru na . Kinana aache upuuzi.

Uhuru wa tume ya uchaguzi unatokana na sheria inayounda tume hiyo pamoja na sheria za uchaguzi na wala sio kauli ya Kinana. Sisi tumeona sheria inayounda tume ni mbovu na sheria ya uchaguzi ni mbovu ndio maana tunaandamana kudai tume huru na #KatibaMpya. Kinana aache upuuzi.
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

itafanya kusiwe na mhimili ambao utakua unaweka mhimili mwingine mfukoni. Miaka ya hivi karibuni tumeona mhimili wa bunge ukiwekwa mfukoni na serikali. — Ananilea Nkya (PhD) VIDEO : bit.ly/3QtMiWi

#KatibaMpya itafanya kusiwe na mhimili ambao utakua unaweka mhimili mwingine mfukoni. Miaka ya hivi karibuni tumeona mhimili wa bunge ukiwekwa mfukoni na serikali. — @AnanileaN #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3QtMiWi
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Kama fedha za nchi zinaliwa na kikundi kidogo utawezaje kumwambia mtu kuwa mzalendo? itasaidia katika ugawaji wa keki ya taifa. — Ananilea Nkya (PhD) VIDEO : bit.ly/3QtMiWi

Kama fedha za nchi zinaliwa na kikundi kidogo utawezaje kumwambia mtu kuwa mzalendo? #KatibaMpya itasaidia katika ugawaji wa keki ya taifa. — @AnanileaN #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3QtMiWi
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Vijana wengi wanamaliza vyuo vikuu katika fani mbalimbali lakini wananishia kujiingiza kwenye bodaboda na kubeti mtaani. Viongozi wetu hakuna anayefikiria kubuni ajira, hakuna uadilifu wala uwajibikaji. — Ananilea Nkya (PhD) VIDEO : bit.ly/3QtMiWi

Vijana wengi wanamaliza vyuo vikuu katika fani mbalimbali lakini wananishia kujiingiza kwenye bodaboda na kubeti mtaani. Viongozi wetu hakuna anayefikiria kubuni ajira, hakuna uadilifu wala uwajibikaji. — @AnanileaN #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3QtMiWi
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Madiwani wanafanya kazi kubwa kuskiliza matatizo na kutatua kesi za wananchi lakini hawalipwi mshahara. itaangalia usawa katika kutumia rasilimali za taifa. — Ananilea Nkya (PhD) VIDEO : bit.ly/3QtMiWi

Madiwani wanafanya kazi kubwa kuskiliza matatizo na kutatua kesi za wananchi lakini hawalipwi mshahara. #KatibaMpya itaangalia usawa katika kutumia rasilimali za taifa. — @AnanileaN #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3QtMiWi
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Rais, wabunge na madiwani wanachaguliwa kwa kura lakini kwenye kazi kubwa ya kudili na watu ni kwenye serikali za mitaa na kata. Diwani halipwi mshahara lakini wabunge mwisho wa miaka mitano ni milionea. Hakuna haki. — Ananilea Nkya (PhD) VIDEO : bit.ly/3QtMiWi

Rais, wabunge na madiwani wanachaguliwa kwa kura lakini kwenye kazi kubwa ya kudili na watu ni kwenye serikali za mitaa na kata. Diwani halipwi mshahara lakini wabunge mwisho wa miaka mitano ni milionea. Hakuna haki. — @AnanileaN #KatibaMpya VIDEO : bit.ly/3QtMiWi
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Kwa sababu hatuna , rasilimali za nchi hazigawanywi kwa kila kikundi na kila jamii ya nchi ikanufaika. Tupate katiba bora itakayowezesha makundi yote ya wananchi kunufaika na rasilimali zilizopo nchini. — Ananilea Nkya (PhD) VIDEO : bit.ly/3QtMiWi

Kwa sababu hatuna #KatibaMpya , rasilimali za nchi hazigawanywi kwa kila kikundi na kila jamii ya nchi ikanufaika. Tupate katiba bora itakayowezesha makundi yote ya wananchi kunufaika na rasilimali zilizopo nchini. — @AnanileaN #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3QtMiWi
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Kwa kutokuwepo na kumekuwa na serikali ambayo haisikilizi wananchi wala wataalamu wake. Tukomeshe hili ili kupata maendeleo thabiti. — Ananilea Nkya (PhD) VIDEO : bit.ly/3QtMiWi

Kwa kutokuwepo na #KatibaMpya kumekuwa na serikali ambayo haisikilizi wananchi wala wataalamu wake. Tukomeshe hili ili kupata maendeleo thabiti. — @AnanileaN #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3QtMiWi
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Kuna haja gani ya watanzania kusoma kama elimu yao haitatumika kuisaidia taifa lao? itafanya mawazo na maoni ya wataalamu yaheshimke. — Ananilea Nkya (PhD) VIDEO : bit.ly/3QtMiWi

Kuna haja gani ya watanzania kusoma kama elimu yao haitatumika kuisaidia taifa lao? #KatibaMpya itafanya mawazo na maoni ya wataalamu yaheshimke. — @AnanileaN #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3QtMiWi
account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

.. Mara zote Mungu ameviinua vilivyo dhaifu na kudharaulika ili Utukufu wake utapokuja uwe wa Ajabu na Nguvu. Ni lazima Jina lake litukanwe kwanza ili Heshima ya Mwishoni iwe KUU na HAKIKA.

Kuamini huja bila gharama, ila Kutokuamini huja na Gharama kubwa.

Mungu atujalie HEKIMA

account_circle
NTELE(@WisemanNtele) 's Twitter Profile Photo

Leo CCM kupitia kwa Kinana wanawapa CHADEMA airtime ya kutosha bila malipo yoyote. TVs ambazo huwa haziripoti taarifa za CHADEMA live kama mikutano ya hadhara, maandamano na press conferences, leo zinaripoti live Kinana akifanya kazi ya uenezi wa Sera, itikadi na falsafa za CDM

Leo CCM kupitia kwa Kinana wanawapa CHADEMA airtime ya kutosha bila malipo yoyote. TVs ambazo huwa haziripoti taarifa za CHADEMA live kama mikutano ya hadhara, maandamano na press conferences, leo zinaripoti live Kinana akifanya kazi ya uenezi wa Sera, itikadi na falsafa za CDM
account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

'Wazanzibari wanatakaje kwa mambo ya muungano ikiwa baadhi yao wanasema Lissu analeta ukabila?'

Sikiliza: youtu.be/mOMVH8IXrQM

account_circle