Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profileg
Freddie

@frediejustine

Centrist. Diplomat. Carpe Diem

ID:518423671

calendar_today08-03-2012 12:00:46

97,2K Tweets

58,7K Followers

519 Following

Patrick Ole Sosopi(@PatricOleSosopi) 's Twitter Profile Photo

Tukiona chombo cha habari kinapindisha haki tutumie kila njia ikiwemo mitandao ya kijamii kukikosoa na kukikataa. Tunataka uhuru wa habari, hata kama hakuna uhuru haifanyi vyombo kuripoti kinyume. — Godbless E.J. Lema VIDEO : bit.ly/4aPxDga

Tukiona chombo cha habari kinapindisha haki tutumie kila njia ikiwemo mitandao ya kijamii kukikosoa na kukikataa. Tunataka uhuru wa habari, hata kama hakuna uhuru haifanyi vyombo kuripoti kinyume. — @godbless_lema #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/4aPxDga
account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

... HII NI LIST OF SHAME!!
waliokuwa wanaharakati na wakapewa heshima ya HARAKATI wanaoumiza HARAKATI za kuondosha CCM madarakani kimkakati baada ya KUFIKA BEI.

1. Fatuma Karumme
2. Halima Mdeee
3. Martin Maranjaa
4. Olee Ngurumo

Tushikamane Kwa nguvu wakati HUU wa GIZA.

account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

... Kuna mtu anapenda haki zaidi ya TUNDU LISU katika Taifa hili? Lakini Leo amepewa jina la HITLER na Fatma Karume na watu mnachekelea. Hawa watu wameungana kitaalamu sana wanatafuna HARAKATI nje na ndani kutugombanisha.

Mungu atujalie HEKIMA, TUTASHINDA

account_circle
“Activism is life”(@Happine61746941) 's Twitter Profile Photo

Freddie Hierarchy ya Uongozi na kuzuia watu kusema ukweli with an excuse of hierarchy is just crap and should not be entertained. Johm Edwards had to resign and face a case because of his unethical acts when he was a leader of the party. Lazima tuwe wakweli. Rushaw ni adui

account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

... anaeshambuliwa na Halima Mdee na Kasheku Msukuma ana kila sababu ya kutiwa Moyo na Kuungwa mkono na watu wenye mapemzi mema. Halima na Msukuma kamwe hawawezi kuitakia mema Taasisi ya CHADEMA na hapo ndo tunapata majibu.

TUTAFAKARI sana.

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kuna blackmailing na strategically character assassnation kubwa sana inafanywa mitandaoni na hata ktk main stream media. Ni biashara kubwa ajabu na inazungusha pesa mingi sana.Mawaziri,viongozi wa serikali na wafanyabiashara ni miongoni mwa kundi kubwa la waathirika wa dhana…

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu is a master of political strategy✊🏽 He takes the bull by its horn huwa hazungukizunguki!
Mikakati yake ni ya kutafuta pakuondoa kizingiti ili mambo yaende!

Disruption ni kuvuruga ila kitaalam Disruptors ni wazuri na ndo wanaoleta mabadiliko - wanatutoa kwenye mazoea…

Tundu Lissu is a master of political strategy✊🏽 He takes the bull by its horn huwa hazungukizunguki! Mikakati yake ni ya kutafuta pakuondoa kizingiti ili mambo yaende! Disruption ni kuvuruga ila kitaalam Disruptors ni wazuri na ndo wanaoleta mabadiliko - wanatutoa kwenye mazoea…
account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

.... Kila mwana CHADEMA anaekipenda chama chetu kwa dhati ana Kila sababu ya kukilinda Kwa nguvu na wivu mkubwa. TUTAVUKA

account_circle
SUKUNUNU 🇹🇿(@sukununu01) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu wa Twitter naombeni msaada wenu toka nilipotoka magereza segerea ninamaisha magum sana maana nimepoteza hata kidogo nilicho kuwa nacho nyuma naitaj mchongo wenu wa kipesa angalau nipate pakuanzia maisha Tena 0714790940 jina SHABANI SEIFU MVIMBA nimeamua kuwa muazi 👉

Ndugu zangu wa Twitter naombeni msaada wenu toka nilipotoka magereza segerea ninamaisha magum sana maana nimepoteza hata kidogo nilicho kuwa nacho nyuma naitaj mchongo wenu wa kipesa angalau nipate pakuanzia maisha Tena 0714790940 jina SHABANI SEIFU MVIMBA nimeamua kuwa muazi 👉
account_circle
#ChangeTanzania(@ChangeTanzania) 's Twitter Profile Photo

Kwa muda mrefu tumekuwa na kero za Muungano katika pande zote mbili yani Zanzibar na Tanganyika. Je kero za Tanganyika zinatambulika vipi? Kwa nini Tangayika isiwe na serikali yake kama ilivyo Zanzibar?

Kwa muda mrefu tumekuwa na kero za Muungano katika pande zote mbili yani Zanzibar na Tanganyika. Je kero za Tanganyika zinatambulika vipi? Kwa nini Tangayika isiwe na serikali yake kama ilivyo Zanzibar? #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

.... Hivi Walimu, Manesi na Mapolisi wanajua kuwa Wabunge wameongezwa mshahara wa Mil 5 Kila mwezi bila ya kusubiri Mei Mosi wala Tathmini? Ifike mahali watu wanapowatetea na nyie mjitetee sio mnapelekwa pelekwa kama wendawazimu.

.... Hivi Walimu, Manesi na Mapolisi wanajua kuwa Wabunge wameongezwa mshahara wa Mil 5 Kila mwezi bila ya kusubiri Mei Mosi wala Tathmini? Ifike mahali watu wanapowatetea na nyie mjitetee sio mnapelekwa pelekwa kama wendawazimu.
account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

.... CHADEMA Tumewafundisha wananchi kudai haki zao, bodaboda Arusha wameanza na Makonda. Machalii wa chuga sio maree! 🤣

account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Pesa zinazotumika kwenye magari ya Kifahari yasiyo ya lazima kwenye misafara ya serikali zingetumika kufanya maendeleo. Tunahitaji uongozi ambao utawajibika kwa maendeleo ya wananchi kuliko kujifaidisha. — Peter Madeleka VIDEO : bit.ly/4aPxDga

Pesa zinazotumika kwenye magari ya Kifahari yasiyo ya lazima kwenye misafara ya serikali zingetumika kufanya maendeleo. Tunahitaji uongozi ambao utawajibika kwa maendeleo ya wananchi kuliko kujifaidisha. — @PMadeleka #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/4aPxDga
account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

.... Chawa si Manataka asiitwa Mzanzibar ? basi ni Mmasai.

Haya mama Mmasai unaeupiga mwingi, rudisha ardhi ya wamasai wenzako ulioiuza kwa waarabu.

account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

... Mh Lisu Endelea kumwaga maji ya moto yenye upupu kwenye mashimo yote na maficho yaliyojaa Chawa.

umewajaza, wakajaa na wametoka mashimoni kwa hasira na milio mikali sana. Piga spana hadi maji Waite mma coz wamezoe kulea na kutetea UOZO na ndio kula Yao.

... Mh Lisu Endelea kumwaga maji ya moto yenye upupu kwenye mashimo yote na maficho yaliyojaa Chawa. umewajaza, wakajaa na wametoka mashimoni kwa hasira na milio mikali sana. Piga spana hadi maji Waite mma coz wamezoe kulea na kutetea UOZO na ndio kula Yao.
account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

.... Taka msitake ni kiongozi Mzanzibar alieshindwa kulinda rasilimali zetu kama bandari na ardhi ya wamasai wa loliondo. Nothing More nothing less.

.... Taka msitake ni kiongozi Mzanzibar alieshindwa kulinda rasilimali zetu kama bandari na ardhi ya wamasai wa loliondo. Nothing More nothing less.
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Mungu akulinde Tundu Antiphas Lissu 🙏🏽
Amesema “ Huyo Bwana mkubwa (Mungu) asipoamua, hufi ng’o! Niulizeni mie!” 😃😃
Alafu wanakuja hawa machawa wanamtishia tishia na maneno!

Hamtaweza kumtisha Lissu! Tena mkome! Mfyuu! Mngekuwa na uwezo mngejaribu tena kumwua na roho zenu nyeusi!…

Mungu akulinde @TunduALissu 🙏🏽 Amesema “ Huyo Bwana mkubwa (Mungu) asipoamua, hufi ng’o! Niulizeni mie!” 😃😃 Alafu wanakuja hawa machawa wanamtishia tishia na maneno! Hamtaweza kumtisha Lissu! Tena mkome! Mfyuu! Mngekuwa na uwezo mngejaribu tena kumwua na roho zenu nyeusi!…
account_circle