Kanyigo
@komando69725157
ID: 1220080784259809280
22-01-2020 20:28:37
3,3K Tweet
159 Followers
232 Following
Idris Habari Idris. Mimi ni mfanya biashara Mdogo wa usafi wa majumbani, maofisini,maofisini, -nyumba iliyomalizika kujengwa, inayotarajiwa kuhamia na usafi wa nguo, Kwa Sasa nimefikia hatua ya kununua baadhi ya vifaa. Lakini baadhi bado. Pesa yako itaniongezea mtaji niongeze vifaa.
Mnaomdanganya Freeman Mbowe jiandaeni kuzomba watu kwenye malori kama CCM. Kama unaamini tumaini pekee lililobakia Tanzania ni Tundu Antiphas Lissu ๐ Retweet ๐200 habari waipate wasio mpenda.
Habari wadau? Huyu Mama yupo Dodoma anapitia changamoto na mtoto najua kuna wadau wanaojitolea kusaidia wanajamii anapatikana Chamwino ila mida ya Asubuhi anakuja Sabasaba Sokoni@M_Mafuru Dr. Dorothy Gwajima Samia Suluhu Anthony Mavunde Madenge Ayubu Madenge