
Joe MYOYA✪
@joemyoya
💰 | A Jobless, Full-Time Dad & Entrepreneur
💸 | Helping Busy 9-5 Parents Make Passive Income with Digital Marketing.
↘️ | Get Started Now, Link on my Bio🔥
ID: 240187676
https://dailybusinessreviewer.com/start 19-01-2011 10:39:06
117,117K Tweet
2,2K Takipçi
863 Takip Edilen



We join the Platform for African Democrats in unwavering solidarity with Tundu Antiphas Lissu in #Tanzania, calling for his immediate release. Put simply, there can be no free and fair election where the leader of the opposition is on trial and the party he leads banned. #FreeTunduLissu



Idara ya uhamiaji Uhamiaji Tanzania mmelala usingizi? Kwa nini hamjiulizi kwa nini raia huyu wa Afrika kusini Mr. Teunis Van Buuren hawezi kusajili namba ya simu wala akaunti ya benki kwa jina lake binafsi? Machale hayawachezi kwa detail ndogo kama hii? Idara yenu inaruhusu raia wa












❤️ wapambanaji wasiokata tamaa na wasiorudi nyuma Hawa ndo wa kuwaenzi siku ya Mashujaa inayoongozwa na Chadema Tanzania Much love and power kwetu sote - tusikate tamaa tusichoke ✊🏽 #Tutashinda #NoReformsNoElection


Tunashukuru BBC News Swahili BBC News Africa kwa kuanika hadharani ukatili wa Samia Suluhu Chama Cha Mapinduzi Police Force TZ na vyombo vya utawala kupitia utekaji, utesaji na mauaji! Wamekimbia wote interview wasiseme hawakutafutwa 🙄 Sasa dunia itaendelea kujua na tutahakikisha mtawajibika! Mtakosa

CDM hawashiriki uchaguzi, Si mkomae na Chaumma kwa kujibu sera za ubwabwa! John Heche Tundu Antiphas Lissu
