Elly G.. (@georgeelpidius) 's Twitter Profile
Elly G..

@georgeelpidius

Business and life||Fulltime lover|

ID: 2227500485

linkhttp://www.hundredfold.co.tz calendar_today15-12-2013 19:13:11

860 Tweet

204 Takipçi

550 Takip Edilen

Robert_Mabruki (@mabrukirobert) 's Twitter Profile Photo

Unapotaka kuanzisha au kufanikiwa katika jambo lolote hapa duniani... kuna roho muhimu tatu lazima upatane nazo. Roho za ardhini, roho za viumbe na roho za mbingu. Vinginevyo huwezi kuvuka. Kuna aina ya maombi, hatua zake na kanuni maalum za kiroho kwenye hili. #SiriZaRohoni

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Research shows the richest people in the World are 75% Entrepreneurs 15% Investors 7% Athletes 3% Artists 0% Employees. Moral : No one got rich from the salary .

Dear God (@most_highgod) 's Twitter Profile Photo

There is something called Grace. When it locates you, it doesn't inspect your certificates or your background. It simply changes the story of your life. May the Lord's Grace locate you dear son.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kijana mwenzangu anzisha mahusiano ya ndoa na binti ambaye atakuheshimu hata kama akiwa na hasira. Heshima wakati wa hasira ni kipimo kizuri sana cha Upendo na Tabia ya mtu. Kama atakuvunjia heshima wakati akiwa na hasira basi tambua kuwa huyo hakuheshimu hata kama hana hasira.

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Salaam Ndugu Zangu Watanzania, Serikali imepokea taarifa rasmi kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja shughuli za wafanyabiashara wetu wanaosafirisha

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Bunge la Tanzania JE DENI LA TAIFA NI STAHIMILIVU KWELI? Kuna vigezo viwili vya kuangalia. 1. Kwanza ni Mtazamo wa Mapato ya Serikali yanayotumika Kulipia Deni. Hapa tumelemewa kwani hadi Juni 2024, Tanzania ilitumia asilimia 44.3 ya mapato yake ya ndani kwa ajili ya kulipia deni la

Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

Anaandika Kaka MalisaGJ Pale KKKT ukitaka kuwa Mchungaji sharti la kwanza uwe na wito. Pili usome kwa bidii hadi form six na ufaulu kwa kiwango cha division 1 au 2. Then uende Chuo Kikuu Makumira au chuo kingine kinachotambuliwa na Kanisa ukasomee shahada ya theolojia kwa

Anaandika Kaka <a href="/MalisaGJ_/">MalisaGJ</a>

Pale KKKT ukitaka kuwa Mchungaji sharti la kwanza uwe na wito. Pili usome kwa bidii hadi form six na ufaulu kwa kiwango cha division 1 au 2. Then uende Chuo Kikuu Makumira au chuo kingine kinachotambuliwa na Kanisa ukasomee shahada ya theolojia kwa
Larry Madowo (@larrymadowo) 's Twitter Profile Photo

EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality. We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions

Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

Kijana wa Tz huwezi kutafuta ama kupigania haki zako kama huzifahamu. Je unafahamu una haki ya kutumia maliasili za Taifa na ukatajirika?