MSILA_๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(Late barchelor) (@j_msilah) 's Twitter Profile
MSILA_๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(Late barchelor)

@j_msilah

Development perspective+Critical thinker+Business entrepreneur.

ID: 1422643624039358472

calendar_today03-08-2021 19:41:42

2,2K Tweet

442 Followers

1,1K Following

MSILA_๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(Late barchelor) (@j_msilah) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati uwa nikiona furaha kama hii ya mashabiki, nawaza ni kwa sababu uongozi wao umeamua kuwapa furaha kabla wao hawajaamua kuchagua furaha.. waitakayo.. tenda haki ... furahaa hazilazimishwi wala sio sehemu ya kuficha uovu nyuma ya matendo yako... #TunatokaOktoba29

MSILA_๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(Late barchelor) (@j_msilah) 's Twitter Profile Photo

Juzi nilimwambia binti yangu, ukiona unakula chochote nyumbani unashiba ika hauendi shule fahamu, sijakutendea haki, nashukuru sahivi anafahamu nini maana ya haki, wajibu na Amani. Amnesty International Hilda Newton