Haji Salim Omari
@hajisalimomari
Normal
ID: 2688338770
08-07-2014 20:09:40
624 Tweet
163 Followers
372 Following
uvutaji sigara ni starehe miongoni mwa watu japokua ina madhara makubwa kiafya.mvutaji anaathirika lakin yeye amekubali aathirike Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 munatulindaje sisi ambao hatuvuti sigara , ila tunapishana na wavuta sigara na moshi kuingia mapafuni mwetu. wateengeni sehemu maalum
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu Tundu Antiphas Lissu amesema Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe Freeman Mbowe amesema uongo kuwa waliwahi kufanya mazungumzo ya iwapo anahitaji kugombea nafasi hiyo ama la ," yeye alitaka vyote awe
Msaada wa hali na mali kwa mama huyu Samia Suluhu Dr Hussein Ali Mwinyi ikulu_Tanzania Mohammed Dewji MO Ikulu | Zanzibar