'King Julien'
@kyaruzileonard
ID: 1558012147
30-06-2013 12:45:57
3,3K Tweet
265 Followers
419 Following
β₯Isabella George π₯° The SPECIAL ONE β’οΈ Hii Sheria inapaswa kufungwa na bunge na wao wanapanga kiasi flan ili Hawa wenye nyumba sas ndo wawe wanamfata mtendaji ama balozi kuwapa taarifa kuwa nyumba zao Zina nafasi pia itasaidia kuwa na taarifa za watu wake katika eneo husika na kuzuia uhalifu.
Natamani kusikia kauli yako Mh. Dr. Tulia Ackson baada ya tukio hili la Mzee wetu Kibao kutekwa na kuuwawa kikatili, ikiwa ni siku chache toka ukatae suala hili la utekaji kujadiliwa kama dharura ndani ya bunge la JMT.