Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profileg
Peter Madeleka

@PMadeleka

Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers

ID:1387685001534316546

calendar_today29-04-2021 08:28:16

6,4K Tweets

85,0K Followers

5,5K Following

Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Niliwahi kusema kwamba THOMAS FUSSY ambaye kwa sasa ni Afisa Uhamiaji Mkoa wa Kagera (RIO) hana SIFA za kuwa na WADHIFA huo. Alipewa WADHIFA huo baada ya kututengenezea ZENGWE kwa MAKAKALA mimi na JAMILA. Leo KATUMBULIWA na kurudishwa BMC😀😀

account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Nimepewa MAELEKEZO na mteja wangu GETRUDE MASANJA ambaye AMELALAMIKA kufanyiwa vitendo vya UDHALILISHAJI na baadhi ya POLISI Mkoani KILIMANJARO, nihakikishe anapata HAKI yake. Nitafanya hivyo. POLISI mtatukuta MAHAKAMANI ⁦Police Force TZ

Nimepewa MAELEKEZO na mteja wangu GETRUDE MASANJA ambaye AMELALAMIKA kufanyiwa vitendo vya UDHALILISHAJI na baadhi ya POLISI Mkoani KILIMANJARO, nihakikishe anapata HAKI yake. Nitafanya hivyo. POLISI mtatukuta MAHAKAMANI ⁦@tanpol⁩
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

“Huu ni UPOTOSHAJI uliopitiliza. Madhumuni yake ni kutaka IONEKANE kwamba watoto wa VIJIJINI wanapata ELIMU BURE kwenye MAZINGIRA MAGUMU”.😀😀😀

Kila la KHERI ndugu ISACK MWIGULU NCHEMBA. Naamini, kama ilivyo DESTURI ya CCM, wajumbe “WATAKUCHAGUA” kwa KURA za “KISHINDO”.😀😀😀

Pamoja na WIZI ambao MKOLONI alifanya kwenye NCHI hii, lakini HUDUMA za Jamii kama AFYA, ELIMU, MAJI, NISHATI n.k, zilikuwa BORA SANA. Tupo HURU kwa MIAKA 62, Je, UBORA wa HUDUMA za Jamii UNALINGANA na ule wa wakati wa MKOLONI?😀😀

Nataka niwaambie BISWALO MGANGA na ANNA MAKAKALA kwamba HAKI WALIYONIPOKONYA, kamwe HAITAPOTEA, iwe ni DUNIANI au MBINGUNI ⁦Samia Suluhu⁩ .

Nataka niwaambie BISWALO MGANGA na ANNA MAKAKALA kwamba HAKI WALIYONIPOKONYA, kamwe HAITAPOTEA, iwe ni DUNIANI au MBINGUNI ⁦@SuluhuSamia⁩ .
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Kama BISWALO amepelekwa LABOUR COURT, basi inabidi EX-PROSECUTORS wote ambao ni MAJAJI nao wapelekwe LABOUR COURT ili KUEPUSHA mgongano wa MASLAHI.

account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Je, ni SAHIHI kwa JAJI aliyewahi kuwa MWENDESHA MASHITAKA YA JINAI, kusikiliza KESI ya JINAI? Je, KANUNI ya “IMPARTIALITY” inazingatiwaje kwenye mazingira hayo? Nadhani mtazamo wa JAJI MKEHA unapaswa kutumika hata kwenye mazingira haya.

Asante Kwa kuni-fact check homeboy. Naona kule kwetu NDALA MISSION mchakato wa kuweka TAA za kuongozea magari utaanza muda wowote kuanzia sasa 😀😀😀

account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Kwa nyakati tulizonazo, ni MUHIMU sana NCHI za AFRIKA zikahubiri zaidi HAKI kuliko AMANI. Hatuwezi kuwa na AMANI wakati ambapo HAKUNA HAKI. Kama MAHAKAMA zikiendekeza TABIA ya kuwa IDARA za SERIKALI, kuna HATARI kubwa AFRIKA IKACHAFUKA kwa DAMU KUMWAGIKA.

Katika NCHI nyingi za AFRIKA, kusini mwa Jangwa la Sahara, MAHAKAMA zinapenda KUJIDANGANYA kwamba ziko HURU wakati ambapo wananchi WANAONA na KUAMINI kwamba MAHAKAMA hizo, kutokana na Matendo, HAZIKO HURU. Ieleweke kwamba AMANI ni TUNDA la HAKI.

Moja ya VIASHIRIA vya NCHI inayoelekea KUSHINDWA (Failed State) ni KUKOSEKANA kwa MAHAKAMA HURU inayopelekea KUKOSEKANA kwa HAKI. Haiwezekani AMANI ikawepo kwenye NCHI ambayo HAINA HAKI. Mungu ATUHURUMIE.

Katika KUSHEREHEKEA sikukuu za mwisho wa mwaka 2023, nitakuwa MAPUMZIKONI kwenye MBUGA za WANYAMA huko BURIGI-CHATO.