#ChangeTanzania
@ChangeTanzania
This is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337
ID:474690789
https://forms.gle/1JbJ9n38cpsSu5UM7 26-01-2012 07:39:46
94,2K Tweets
315,7K Followers
1,1K Following
#KatibaMpya ibainishe wazi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Za serikali awe ni raia wa kuzaliwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
π¨Tukae humu ππΎβοΈ
ππ½ Samia Suluhu alituwekea humu taarifa ya kukabidhiwa kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi
ππ½ Kwa mantiki hii Samia ni MZANZIBARI na si ukabila maana hakuna kabila inatoa kitambulisho - so huu uzanzibari ni nini? π
ππ½ Kitambulisho hicho lazima uhakikiwe na kwaβ¦
Kupitia #KatibaMpya uwepo wa mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali atakayeteuliwa na Rais ni lazima athibitishwe na Bunge la Jamhuri ya Muungano. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Ni Wananchi ambao hupima ubora wa Maafisa wa Umma, uaminifu na Uadilifu wao. Mfumo wa ukaguzi wa umma unaoendeshwa na Malalamiko katika #KatibaMpya unaweza kusaidia katika kubainisha uadilifu wa Watumishi wa Umma. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Wakati wananchi wanapokosa imani na Afisa yeyote wa Kisiasa au Umma, ni muhimu kuwe na mfumo wa kukagua uwajibikaji na ukaguzi wa ubadhirifu wa mali ya umma. Tunataka #KatibaMpya inayowapa wananchi nguvu na kuwalinda. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
#KatibaMpya bora itahakikisha kuwa michakato wa wananchi inaiwajibisha serikali yao kupitia Malalamiko. Bunge huru lazima litunge sheria kali zinazowapa raia mamlaka ya kuiwajibisha serikali. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Wanawake wanapoelimishwa nchi zao huwa na nguvu na ustawi zaidi - Michelle Obama β¦ Sera ya kurudisha watoto wa kike shule katika mfumo rasmi si swala la kupuuziwa. #ArudiShule #ElimuBilaUbaguzi #ChangeTanzania
SAMIA : Sina Kabila, ukiniuliza Kabila lako Nani nitakuambia mimi ni Mzanzibar
bit.ly/4aWfflI
#ChangeTanzania
π₯π₯ ka-boom βΌοΈ
11 October 2021
βHata mimi ujiniuliza nitakwambia mi mzanzibari - sina kabilaβ
- Samia Suluhu mwenyewe
Utambulisho wake kasema ni Mzanzibari π
Sasa leo iweje kumwita mzanzibari iwe ubaguzi?
Alafu kujiita mzanzibari kama si kabila ni nini? Utaifa? Uraia? Hadiβ¦
Viongozi wa Kisiasa na Watumishi wa Umma wanaposhindwa kutumikia Wananchi, ni lazima Wananchi wawe na namna ya kuwawajibisha. #KatibaMpya Nzuri, Imara na ya Kuaminika inawahakikishia wananchi mamlaka kamili. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Mgawanyo wa madaraka hutoa uwezo kwa wananchi kupitia bunge na mahakama kusimamia, kueleza, na kupitisha masuala muhimu na wajibu wao wenye maslahi kwa umma. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
#TANZANIA : LISSU AMVAA FATMA KARUME MAZIMA, AKINUKISHA DODOMA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania, Tundu Antiphas Lissu akiwasha #Dodoma , awavaa Wafanyakazi wa Umma kwa kuwa omba omba kwa Rais, atabiri yatakayotokea siku ya Wafanyakazi, amvaa vikali fatma karume aka Shangazi
Zaidi:β¦
Mgawanyo wa madaraka unahakikisha mihimili mitatu ya serikali inadhibiti bajeti zao za kitaasisi zinazohakikisha uhuru wa kifedha bila kuingiliwa na watu wengine. Hii husaidia fedha kufanya kazi iliyokusudiwa. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Mgawanyo wa madaraka huweka uwiano wa uwajibikaji ndani na kati ya taasisi za serikali ili kusimamia majukumu yao binafsi ya kitaasisi kwa uhuru bila kutdbitiwa na taasisi nyingine zinazohisi zina nguvu. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Mgawanyo wa madaraka husaidia kukuza na kuongeza ufanisi serikalini kwa sababu kila tawi la serikali linafanya kazi bila ya mwenzake kumuingilia au kuporaa madaraka yake. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
A public office is not a job, it is an opportunity to do something for the public. β Franklin Knight Lane #ChangeTanzania
#KatibaMpya italeta Mgawanyiko wa madaraka wenye kulinda haki na uhuru wa raia, hasa walio wachache, kwa kuhakikisha kuwa mtawala hawi mikononi mwa watu wachache au baadhi yamakundi yenye maslahi yao binafsi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Kwa kupata #KatibaMpya tutakuwa na taasisi imara za serikali na kuzuia mamlaka kuchukuliwa na kuwekwa mikononi mwa makundi yenye maslahi au watu binafsi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi