Franco Msaki
@francomsaki13
ID: 1440625385457082382
22-09-2021 10:34:13
2,2K Tweet
1,1K Followers
3,3K Following
#FreeGeorgeSanga 972 days in detention without trial is a serious human right violation This needs to be litigated at all levels Anyone thinking that Samia Suluhu is a reformist better brace! African Commission on Human and Peoples' Rights UN Human Rights East African Court of Justice Mary Lawlor UN Special Rapporteur HRDs Assistant Secretary Riley Barnes Human Rights at FCDO
#Tanzania 🚨 Sungusungu Arusha wananyanyasa wananchi - wanawapa kesi na kuwatishia! Kata ya Sinoni mkuu wao anaitwa Ally Kata ya Sakina anaitwa Idrisa na ndo anasemekana ni mbaya zaidi! Wanakula mirungi na kuumiza vijana! Samia Suluhu upo? WizarayaMamboyaNdani mna taarifa? #TutaelewanaTu
Haya marekebisho ni hatari sana na kuna siku Samia Suluhu atakuja kupata “taste of her own medicine” kwani itatumika dhidi yake na Rais mwingine! Mtakuja kukumbuka nilisema hii alafu mtasema mi mtabiri ohoo 😅 Mi si mtabiri ila ninaheshimu sana KARMA! #TutaelewanaTu lakini
Matukio katika picha, mkutano wa leo Mchana Mei 29, 2023 Nzega Mjini, Mgeni rasmi akiwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe. #255KatibaMpya
Siyo Zanzibar tu hata huku kwa Samia Suluhu hawana uwezo wakushinda uchaguzi hata wa balozi uchaguzi ukiwa wa huru na haki #255KatibaMpya
Matukio katika picha, mkutano wa Alasiru Mei 29, 2023 kata ya Lugubu, jimbo la Igunga, Mgeni rasmi akiwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe. #255KatibaMpya
Mwamba Freeman Mbowe, Kata ya Igurubi, katika mkutano wa jioni Mei 29, 2023 Jimbo la Igunga, Ikiwa ni mkutano wake wa sita kwa siku ya leo. Watanzania wana KIU ya Mabadiliko.🔥 #Plus255KatibaMpya
Wanaotafuta kulindwa na sheria ndio hao hao wanaokwapua mabilioni ya kodi za watanzania maskini na kutumia mtutu wa bunduki kuwanyamazisha. Umma wa watanzania ungekuwa unafahamu nguvu uliyonayo, hawa watawala wasingekuwa na ujasiri wa kuyafanya haya! Samia Suluhu