
Sabatho Nyamsenda
@sabatho7
Faculty Member, University of Dar es Salaam
ID: 4264694116
24-11-2015 12:45:05
4,4K Tweet
3,3K Followers
1,1K Following





โWaokota taka rejeshi hufanya kazi, ambayo inapaswa kugharamiwa na wazalishaji wa taka za plastiki (polluter pays principle). Hata hivyo wazalishaji hao hawatimizi wajibu waoโฆ na hivyo kuwaachia waokota taka rejeshi mzigo mzito wa usafishaji bila ujira unaowawezesha kuishi.โ ๐๐ฟ



MTAWADA Abdul-Aziz Carter Wizara ya Viwanda na Biashara Ofisi ya Makamu wa Rais Sabatho Nyamsenda Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII ILO Dar UN Tanzania ๐บ๐ณ NemcTanzania mimi nina cbo nimeanzisha mwaka 2014 ya waste Pickers wanaokota taka kwenye km 50 Za barabara inayopita hifadhi ya taifa Mikumi tunaokota taka huku simba ,tembo ,chui wanatungalia,waste Pickers wanafanya kazi kubwa kurejeleza taka ila ndio wanaonekana kama vichaa


Adv. Peter Patience Kibatala, Peter Kibatala, akieleza mjumuiko wa masuala mengi ambayo yanaendelea katika kesi ya Tundu Antiphas Lissu na msimamo wa jopo la mawakili wa utetezi ikiwa ni pamoja na kueleza mgomo wa kula gerezani alioanza Adv. Tundu Lissu hadi pale atakapopelekwa mahakamani.





Sabatho Nyamsenda on the debate between Nyerere and Nkrumah on South-South-Solidairy and a trade union of the poor. โA Trade Union of the Poorโ? Re-imagining South-South Solidarity with Nkrumah and Nyerere Sabatho Nyamsenda


