Christian Bwaya(@bwaya) 's Twitter Profileg
Christian Bwaya

@bwaya

Reading @Psychology | Teaching @Psychology | Writing @Psychology | Building @LITanzania |

ID:38410139

calendar_today07-05-2009 11:03:48

36,3K Tweets

10,4K Followers

983 Following

Adam Grant(@AdamMGrant) 's Twitter Profile Photo

There's no such thing as a self-made man or woman. No one succeeds without support.

'I did it on my own' is a sign of insecurity and entitlement. Acknowledging help is a mark of confidence and humility.

Giving credit to others doesn't undermine you. It elevates them.

account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

January Makamba is just different. Nafahamu pia kwamba kuna gharama ya kulipa hapa Tanzania kama ukiwa different au extraordinary. What do you do? You block out all the noises and you keep going.

@JMakamba is just different. Nafahamu pia kwamba kuna gharama ya kulipa hapa Tanzania kama ukiwa different au extraordinary. What do you do? You block out all the noises and you keep going. #KaziInaendelea
account_circle
Christian Bwaya(@bwaya) 's Twitter Profile Photo

‘Unaweza’
‘Unakubalika’
‘Unaaminika’
‘Unaeleweka’
‘Unathaminika’
‘Wewe ni mtu wa maana’

Mahusiano yako na wazazi wako yasipotafsirika kuwa ujumbe huu na ukauamini, watu wengine unaokutana nao ukubwani watapata shida kubwa kukuaminisha.

account_circle
Christian Bwaya(@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Chuo Kikuu cha Dodoma kimetangaza Program maalum ya kwa wanafunzi wake. Hizi ni saa 25 za warsha 11 zinazolenga kukuza ujuzi wa kuajirika —kutumia maarifa ya darasani kujiajiri na kuajiriwa.

Aidha, vijana wengine wasio wanafunzi wanakaribishwa.

Chuo Kikuu cha Dodoma kimetangaza Program maalum ya #InnovationAndEmployabilitySkills kwa wanafunzi wake. Hizi ni saa 25 za warsha 11 zinazolenga kukuza ujuzi wa kuajirika —kutumia maarifa ya darasani kujiajiri na kuajiriwa. Aidha, vijana wengine wasio wanafunzi wanakaribishwa.
account_circle
Togolani Mavura(@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Ukitaka kuwajua watu waliomaliza muda wao katika maisha yako, pata shida. Ukitaka kusajili watu wapya wenye msaada katika maisha yako, pata shida. Shida huwasogeza mbali wale uliodhani unao, na hukuletea wapya wa kuwatumainia ambao hukuwategemea.

account_circle
Christian Bwaya(@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Kicheko kinahifadhi mengi. Mwenye sonona anaweza kuwa ndiye mcheshi kuliko wote; mwenye moyo uliozizima ndiye mfariji wa wenye furaha isiyoonekana.

account_circle
Mariana Blessed Ainekisha(@blessed_ma95059) 's Twitter Profile Photo

I was a victim, ni maumivu yasiyo na maelezo. Only God can heal and repair the damaged. I thank God now nikikumbuka naweza kuwa na amani na kuendelea na maisha as if sijakumbuka a toiling scene. I can not thank God enough for this, though I am not sure if my siblings are healed🤔

account_circle
Christian Bwaya(@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Kama kuna chochote cha thamani mtoto anakihitaji katika ukuaji wake ni mahusiano na wazazi wote wawili.

Unapotokea ugomvi, na ukaona ni lazima kuumizana, basi pambana na mkubwa mwenzio. Mtoto, asiye uwezo wa kuelewa ugomvi wetu, hana sababu ya kugeuzwa ‘dodoki’ la maumivu.

account_circle
Christian Bwaya(@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Kwa nini umtumie mtoto kama silaha ya kumwuumiza mzazi mwenzako? Unapofikiri unamwuumiza mbaya wako kumbe anayeumia zaidi ni huyo mtoto unayempenda. Kuna maneno ukimbebesha mtoto yanaacha athari ya kudumu na kuharibu maisha yake. Inawezekana kumtenga mtoto na ugomvi wenu.

account_circle
khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹(@ThatBoyKhalifax) 's Twitter Profile Photo

took me five weeks (reading an average of 15 pages per day) to finish this book my brother ⁦Rakesh Rajani⁩ blessed me w/ in july 2023. it’s a very good book w/ a chilling message: humans overestimate their rationality in making decisions and choices about their lives.

took me five weeks (reading an average of 15 pages per day) to finish this book my brother ⁦@rakeshrajani⁩ blessed me w/ in july 2023. it’s a very good book w/ a chilling message: humans overestimate their rationality in making decisions and choices about their lives.
account_circle
Christian Bwaya(@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Mstari unaotenganisha kujiamini na kiburi ni mtazamo kwa wengine.

Ukiutambua uwezo wako na ukautumia bila kuwadogosha wenzako wewe unajiamini —uwezo wako utawafaidisha wengine.

Ukijiamini na ukafikiri wewe ni bora kuliko wengine hicho ni kiburi —kuweza kwako kutawasumbua watu.

account_circle
Mathew Togolani Mndeme, PhD.(@mathewmndeme) 's Twitter Profile Photo

Dr Sophia Mfaume Kizigo, PhD mimi sitashiriki mjadala wa gari bali nikupongeze kwa kuwa tayari kujibu maswali na kujadiliana na wenye fikra mbadala kwenye public forum ukiwa sober-minded. Hii ni sifa nzuri kwa kiongozi wa kisiasa na sio wote wenye uwezo huu.

Well done.

account_circle
Robert Mndeme(@RobertMndeme) 's Twitter Profile Photo

Christian Bwaya Mfundishe akajifundishe, muongoze akajiongoze, msimamie akajisimamie, mlee akajilee, akutegemee akajitegemee ...; ndani ya mtu kuna UWEZO WOTE.

account_circle