
Road Safety Ambassadors of Tanzania
@rsatza
An NGO registered in Tanzania, dedicated to saving road users lives through education | Member of Global Alliance of NGOs for Road Safety
ID: 1544582004171309058
https://rsa.or.tz 06-07-2022 07:21:02
136 Tweet
255 Followers
131 Following


Madereva hawa si wageni machoni petu. Tena amelipamba gari lake kwa maneno mazuri mno, "MWENYE HEKIMA HABISHANI" ila yeye amekosa kabisa hekima barabarani. Nadhani sasa ni muda sahihi wa kuwa na sheria madhubuti za Barabara Police Force TZ Wizara ya Katiba na Sheria Wizara ya Afya Tanzania πΉπΏ Tanganyika Law Society(TLS)






Tunapenda kuwatakia wadau wote wa Usalama Barabarani Heri ya sikukuu ya Pasaka Bunge la Tanzania Police Force TZ TAWLA WASAFIRI TANZANIA Tanganyika Law Society(TLS) TANROADS HQ Azam TV Road Safety Awareness Initiative (Kenya) Global Youth Coalition for Road Safety Road Safety Alliance UNRSF β UN Road Safety Fund Arrive Alive


Mara nyingi tumeshuhudia ajali zinazosababishwa mitambo ya kilimo na ujenzi nyakati za usiku. Ni wakati muafaka sasa kwa Police Force TZ mkoani Iringa, Njombe na Mbeya kuhakikisha barabaea zetu zinakuwa salama hasa msimu wa kilimo. Samia Suluhu Azam TV Mwananchi Newspapers miundombinunauchukuzi

Great job! Hapa mwalimu ametumia mbinu ambayo itamfanya mtoto aweze kukumbuka kila akifika hapo kwenye kivuko. Wapiganaji wa namna hii wanafaa kukumbukwa kwa nishan. #rsatz Samia Suluhu Police Force TZ Tanganyika Law Society(TLS) ikulu_Tanzania Bunge la Tanzania Azam TV Clouds Media Mwananchi Newspapers

Tumia indiketa unapoingia katika round about ili kuwawezesha wanaokuja nyuma yako kujua uelekeo wako Police Force TZ Azam TV Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Jamii Forums TAWLA WASAFIRI TANZANIA Tanzania Bound Buses Counselor Rama Msangi mwakimwagile, edom 5.0 #usalama_barabarani_ni_jukumu_letu_sote

Kukosekana kwa umakini kwa madereva hukosesha haki ya watumiaji wengine kutumia barabara kwa usalama na kuwa salama muda wote wawapo barabarani. Police Force TZ miundombinunauchukuzi TANROADS HQ Tanganyika Law Society(TLS) Azam TV Mwananchi Newspapers ITVTanzania #Usalama_Barabarani_Ni_Jukumu_letu_Sote