WASAFIRI TANZANIA(@wasafirtanzania) 's Twitter Profileg
WASAFIRI TANZANIA

@wasafirtanzania

ID:4636814295

calendar_today28-12-2015 22:50:22

23,5K Tweets

12,5K Followers

744 Following

Joh cabinet(@Joh_cabinet) 's Twitter Profile Photo

Wall Tv case very class ni movable sio ya kufix unahama nayo
Very class every Details concerning
Price: 870,000
Call; 0710444391
Handle: Joh cabinet
Whatsapp:0623011171
Loc: keko furniture

Wall Tv case very class ni movable sio ya kufix unahama nayo Very class every Details concerning Price: 870,000 Call; 0710444391 Handle: @Joh_cabinet Whatsapp:0623011171 Loc: keko furniture
account_circle
Joh cabinet(@Joh_cabinet) 's Twitter Profile Photo

Moja ya watu ambao sijawahi jutia kukutana nao ni huyu jamaa wajina John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ jamaa yuko real sana humble,hustler na ilivotokea kanicheki tufanye kazi sikuweka hiana kwasababu tangiapo nilisha muappreciate

Tusogee pale mwenge Bamaga ofisi ipo karibu na hotel ya kebbys.

Moja ya watu ambao sijawahi jutia kukutana nao ni huyu jamaa wajina @kalage_jr jamaa yuko real sana humble,hustler na ilivotokea kanicheki tufanye kazi sikuweka hiana kwasababu tangiapo nilisha muappreciate Tusogee pale mwenge Bamaga ofisi ipo karibu na hotel ya kebbys.
account_circle
Oscar Jr(@JustinOscarJr) 's Twitter Profile Photo

Mtaani kwetu na Wana๐Ÿซก HAPPY SUNDAY๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ›ฃ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mtaani kwetu na Wana๐Ÿซก HAPPY SUNDAY๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ›ฃ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
account_circle
BEPARI(@Bepari__) 's Twitter Profile Photo


~Ardhi yenye sifa stahiki
~Mbegu bora
~Pembejeo kwa wakati
~Maji ya uhakika
~Mtaji stahiki
~Muda
~Dua
~Mahusiano mema na majirani

#MPUNGATIPS ~Ardhi yenye sifa stahiki ~Mbegu bora ~Pembejeo kwa wakati ~Maji ya uhakika ~Mtaji stahiki ~Muda ~Dua ~Mahusiano mema na majirani #MahangoMbaraliMbeya
account_circle
Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

So, tunaendelea tulipoishia, au siyo?

8. Kama wewe hauna urithi wa biashara, asset ama mtaji kama nilivyokuwa mimi, basi njia yako ni ngumu zaidi. Tumia akili, elimu, uzoefu na maarifa yako yote kubuni wazo linalofaa. Ukiishakuwa na wazo na ukajua unahitaji nini, sasa utajua

account_circle