
Necto Kitiga
@nectokitiga
Makamu Mwenyekiti wa Bavicha Taifa 2025/2029.
ID: 1029431611073482754
http://Nectokitiga.com 14-08-2018 18:16:36
35,35K Tweet
45,45K Followers
2,2K Following



Mwalimu Pambalu John Pambalu Mkurugenzi wa Uchaguzi, oganizesheni na Mafunzo akiwa kazini Kanda ya Nyasa. Kuvunjwa mguu na Polisi hakujamuondolea kiu yake ya kuona mabadiliko katika Taifa. No reforms No election









APEWE MAUA YAKE AKIWA HAI!!! Kumwachia Chama kipindi kigumu kama hiki na bado mambo yanaenda sawa it's no easy Wakuu. Huyu bwana ni chuma, Chuma kweli kweli. You got my respect Comrade John Heche 🫡




Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu alituasa na kuwa tayali kwa MAPAMBANO, Alisema tuendako sio kwepesi hata kidogo. Yanayoendelea kutokea ndio yaleyale aliyotuasa. Aluta Continua

Ukiwa CCM unakosa akili Ukikosa akili unakosa Aibu Ukikosa aibu unakuwa hayawani, tapeli, dhulumati, muuaji, fisadi, mwizi na kila aina ya uhovyo CCM ni janga! Kwa hisani ya "weakman" wa Jamii Forums


MANG'ANA MURA Mwamba apewe maua yake.... Amepeleka moto hadi mifumo yote imetoka kukishughulukia Chadema.. Hongera nyingi kwenu:- John Heche MNYIKA John John Boniface Jacob Deogratias Mahinyila Rose Mayemba Martin Maranja Masese Godbless E.J. Lema #NoReformsNoElection IMEELEWEKA.. We are proud of you 💪💯



