
LilCrvsh🦋
@mill3n_kl3in
Fan of ||yangasc1935 ||Arsenalfc ||🍁
ID: 1226063203098120193
08-02-2020 08:40:38
11,11K Tweet
2,2K Followers
3,3K Following






Alafu Emmanuel Nchimbi acheni usanii mnatuonaje? Pikipiki, baiskeli mlinunua kwa bajeti gani? Kama ilichangiwa ilichangiwa na nani? Hiyo 100 bilioni ni ya DP World ama? Yaani tutajua tu maana wazalendo wamechoka huko ndani #TutaelewanaTu








Hatuwezi kubeza taarifa yoyote inayohusu uhai wa Lissu Alipoongea Tundu Antiphas Lissu 👇🏾 kabla ya kupigwa risasi si mlimbeza na hata kumtishia eti analeta taharuki!? Kapigwa risasi hadi leo hamna majibu! Mkishamwua tutashindwa kumrudisha so sisi tutapiga kelele hadi mbinguni! Msimguse!


“Sijaona bado mgombea Urais kwenye Uchaguzi huu mwaka 2025..”-; MWANAMAPINDUZI





Nondo za John Heche katika kongamano la BAVICHA Kidigitali.