
Kadogo551
@kadogo551
ID: 1412625587571732481
07-07-2021 04:13:02
5,5K Tweet
275 Followers
246 Following













Uzuri ni kwamba Tundu Antiphas Lissu alishasema kuwa hayuko tayari na hatakubali kuendesha kesi GIZANI kwa mashihidi wa siri waliofichwa. Haki ni lazima itendeke na ionekane kweli inatendeka. Kwanini mashahidi wafichwe? Kwanini ushahidi utolewe sirini? #JusticeForLissu

Mhe. Tundu Antiphas Lissu alishasema kuwa hayuko tayari na hatakubali kuendesha kesi GIZANI kwa mashihidi wa siri waliofichwa.

Maria Sarungi Tsehai Watu wa idara ya usalama wa Taifa ndio hao wamegeuka kuwa watekaji wanatuteka na kutufira na ulawiti juu kwa ujumla usalama wa Taifa ni wasodomanize cha msingi hapa ni ccm itolewe na iishie kuzimu

Maria Sarungi Tsehai Jamani jueni kwamba Samia ndo anawatuma wafiraji , walawiti na watekaji kufanya hayo yote musitegemee Samia kukemea nchi imetekwa na hao ni waheshimiwa wahuni

Godbless E.J. Lema adelid Kwani wewe Lema unaogopa kusema ukweli kwamba wanaficha nyuso zao kwa ninja ? Hapo sio kulindwa wajue tu kwamba wavae maninja ama wasivae tunawajua na Mungu anawajua kuliko kitu chochote nawahakikishia kuna siku hawa watu wataomba mbegu walizopanda zisiote lakini zitapta


millardayo “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; Lakini mwisho wake ni njia za mauti.” Mit 16:25 SUV bible.com/bible/164/pro.…
