Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile
Rose Mayemba

@rose_mayemba

Chadema Chair for Njombe Region,
Pharmaceutical Technician,Business woman& Child of God...

ID: 1377210465630183425

calendar_today31-03-2021 10:45:53

13,13K Tweet

42,42K Takipçi

493 Takip Edilen

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Kuna idadi kubwa ya vijana walioko Facebook, Instagram na Tik tok, hasa wale wanaokosoa utawala wa Samia wanatekwa na kupotezwa kila siku. Kuua, kuteka na kupoteza kwa sababu ya Madaraka umekuwa ni utamaduni unaotaka kukithiri sasa. Tunatoa wito kwa wauaji na watekaji, acheni

Kuna idadi kubwa ya vijana walioko Facebook, Instagram na Tik tok, hasa wale wanaokosoa utawala wa Samia wanatekwa na kupotezwa kila siku.
Kuua, kuteka na kupoteza kwa sababu ya Madaraka umekuwa ni utamaduni unaotaka kukithiri sasa.

Tunatoa wito kwa wauaji na watekaji, acheni